Nikusahihishe tuu Epidural haitolewi kuanzia labor ila katikati ya labor mtoto akiwa chini ya 6cm adi kutoka . Ikiwa zaidi ya 6cm huwezi pata Epidural maana sio safe. Ila inategemea na mazingira ya anayetakiwa kujifungua . Mwanzoni mama mjammzito akipata uchungu hawezi kupata Epidural maana ita Mslow down mtoto kutoka . Na ukumbuke mpaka ifike 10 cm ndio mama anaanza kusukuma. Kudilate ni muhimu sana zikifika nyakati za mwisho wa ujauzito . Kuhusu hii dawa kifika hapa Tz labda hospital za binafsi ila kwa Serikali bado . Ngoja wazoefu waje watujuze .Epidural anaesthesia ni ganzi unapewa kupitia uti wa mgongo, kuanzia labor hadi utapojifungua. Unakuwa Husikii maumivu ya tumbo wala wakati kusukuma.
Doctors, huduma hii inapatikana huku?
thanks but vingine ulivyosema ni mythsNikusahihishe tuu Epidural haitolewi kuanzia labor ila katikati ya labor mtoto akiwa chini ya 6cm adi kutoka . Ikiwa zaidi ya 6cm huwezi pata Epidural maana sio safe. Ila inategemea na mazingira ya anayetakiwa kujifungua . Mwanzoni mama mjammzito akipata uchungu hawezi kupata Epidural maana ita Mslow down mtoto kutoka .
if a woman will feel empowered or more feminine by having a natural birth then its all good.usitake kukimbia majukumu, zaa kwa uchungu, unajua ni kemikali zinaenda kupooza huko ndani, msipende kujitafutia shida wadada, si ajabu ukikosa hiyo huduma ukaomba upasuliwe
yes here's a small chance for that AND YES hata mie sipaamini huku. unless unamjua doctor vizuri. sasa unaanzaje kujuana na daktari wa ganzi!Nasikia eti sijui uti wa mgongo ukitikisika unaweza paralyze,..kibongobongo mhh sina imani bado
naomba tuishen ya english mpendwa housegirlif a woman will feel empowered or more feminine by having a natural birth then its all good.
I don't think there will be any reward for me going through agonizing pain for hades knows how long while there are ways to go pain free.
nurturing a human in me for 9months should be more than enough thank u.
Kupata uchungu hakupunguzi wala kuongeza.usitake kukimbia majukumu, zaa kwa uchungu, unajua ni kemikali zinaenda kupooza huko ndani, msipende kujitafutia shida wadada, si ajabu ukikosa hiyo huduma ukaomba upasuliwe
ok, ok keep it up!Kupata uchungu hakupunguzi wala kuongeza.
Kama kuna njia za kuupoza wacha watumie ile op au epidural. Kuzaa sio lele mama.
we nakwambia subiri ifike huku usikie maneno.Kupata uchungu hakupunguzi wala kuongeza.
Kama kuna njia za kuupoza wacha watumie ile op au epidural. Kuzaa sio lele mama.
Kama ndio Tafsiri ya hayo maneno ndio hivyo ulivyofafafanua aisee acha uwe "Housegirl" tu kwa maana hakuna namna tenana wanaume watakula kwa jasho, lakini kutwa kushinda kwenye kipupwe. Kuna watu toka mwaka umeanza hawajatoa jasho. anayetokwa jasho kazini most probably ni maskini.
times have changed.
Nyie wake zetu mliosoma shida tupu. Unaopt kwa hayo makitu ila likibungunyuka msala unakuwa wetu. Siamini wala kukubali mtu acheze Na Uti WA mgongo. Umebeba 9 months si umalize naturally. Wetu nao vichwa ngumu uzeeni tunahangaika nao wakiwa wanageuzwa vitandani. Jamani muwe wasikivu maana ukimwacha watu aha mbona alipokuwa mzima alimpenda.....we nakwambia subiri ifike huku usikie maneno.
"sijazaa na ganzi mie"
"mwanamke wa shoka yule, hamna cha ganzi wala nini"
nishajikubalia sina ushoka wala upanga wowote. mie kiwembe kabisa. period yenyewe inaniweka bed rest. hah! nature is so cruel.