Kijeba Kijeba
Senior Member
- Mar 7, 2024
- 156
- 220
Changamoto ni kwamba uwezo wa waafrika na Watanzania wengi ni mdogo sana unavyoona huku jamiiforum ndo reflect ya watanzaniaMnataka tuwe tuna discuss mambo ya simba na kajala kurudiana na harmonize
Ila tukisema tuongelee mambo ya msingi wanasema tumechanganyikiwa
Wabongo ni hatari na nusu, mada za maana wazichukulia poa tu na kuleta utani mwingi lakini zile za kula kimasihara mmh.Mnataka tuwe tuna discuss mambo ya simba na kajala kurudiana na harmonize
Ila tukisema tuongelee mambo ya msingi wanasema tumechanganyikiwa
Taratibu taratibu tu tutafika ila kazi ni ngumuWabongo ni hatari na nusu, mada za maana wazichukulia poa tu na kuleta utani mwingi lakini zile za kula kimasihara mmh.
Kaka salamaleko βΊοΈπMkuu Denis Roberts unajua kuwa server za JF zinalipiwa hela kila mtu akiandika utumbo ?
Basi kama binadamu mwenye uelewa hacha mara moja kumuumiza mjomba wangu Maxence Melo
Badala ya kusema utapambana kuondoa risk factors zinazoleta figo kushindwa kama unywaji WA pombe kali uliopitiliza (kwa kuwa na sera nzuri za matumizi ya vileo) wewe unataka uwanufaishe wahindi watakaoweka mashine kila mtaa. Hufai kuwa RaisNikiwa Rais moja ya mambo ntakayoyafanya ni kuhakikisha huduma ya dialysis inakua bure
View attachment 3325216
Kuwa bure ni vyema ika kuna mambo hayatakiwi kuwa bure mfano dawa za HIV zilitakiwa kuuzwa dozi ya mwezi japo sh20000 hii ingepunguza kabisa maambukizi kwa asilimia 70 %..lengo ovu la kutoa dawa za HIV bure ni kufanikisha kusambaa kwa ukimwi hovyoNikiwa Rais moja ya mambo ntakayoyafanya ni kuhakikisha huduma ya dialysis inakua bure
View attachment 3325216
Kuna watu wengi Figo zimekufa na hawana historia ya kunywa pombeBadala ya kusema utapambana kuondoa risk factors zinazoleta figo kushindwa kama unywaji WA pombe kali uliopitiliza (kwa kuwa na sera nzuri za matumizi ya vileo) wewe unataka uwanufaishe wahindi watakaoweka mashine kila mtaa. Hufai kuwa Rais
Ni kweli kabisa unavyosema. Tukiondoa risk factors tutabakiwa na wagonjwa wachache ambao hawatatulazimu kuanzisha dialysis centres kila mtaa. Hao wachache watatokana na autoimmune diseases and other unpreventable disorders. Tuchukue hatuaKuna watu wengi Figo zimekufa na hawana historia ya kunywa pombe
Mtu ambaye anasumbuliwa na autoimmune huyu yupo kwenye hatari ya Figo kufa
Waleykum msalam kaka ,kheri hukoKaka salamaleko βΊοΈπ
Salama Sana yaani ni swadaktaWaleykum msalam kaka ,kheri huko
Nashauri mapenzi yafutwe sababu ana mapenzi sana na mambo yake...Nashauri Dennis anyang'anywe simu....
Na dialysis ndio habari ya mjini sasa, kila mtu figo imekufa!!Nikiwa Rais moja ya mambo ntakayoyafanya ni kuhakikisha huduma ya dialysis inakua bure
View attachment 3325216
Watu wengi wanashida ya Figo na gharama za dialysis wengi hawazimuduNa dialysis ndio habari ya mjini sasa, kila mtu figo imekufa!!