Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 4,811
- 7,489
Ukimaliza kudhihaki utaendelea na shughuli zakoHebu tutolee ujinga wako wewe,Kila maada nikwa rais nikiwa rais
Ukimaliza kudhihaki utaendelea na shughuliHebu tutolee ujinga wako wewe,Kila maada nikwa rais nikiwa rais
Ukimaliza kudhihaki utaendelea na shughuli zakoHuyu jamaa sina mashaka ni mental case. Huu ni uzi wake wa 4 kama sio wa tano.
Arudishwe mirembe tu.
Kwani ni kosa mtu kuwa na maono ila kuishi afrika ni tabu sanaMkuu Denis Roberts unajua kuwa server za JF zinalipiwa hela kila mtu akiandika utumbo ?
Basi kama binadamu mwenye uelewa hacha mara moja kumuumiza mjomba wangu Maxence Melo
Hujambo mwanangu ?Kwani ni kosa mtu kuwa na maono ila kuishi afrika ni tabu sana
Afrika ni kosa kuwa na mawazo makubwa ukiwa nayo vita vitaanzia huku huku chiniKwani ni kosa mtu kuwa na maono ila kuishi afrika ni tabu sana
Wakuu, kwani mtoa mada hajasema ukweli?Afrika ni kosa kuwa na mawazo makubwa ukiwa nayo vita vitaanzia huku huku chini
Watanzania hawajui wanataka niniWakuu, kwani mtoa mada hajasema ukweli?
Kweli gharama ni kubwa, na angekuwa mtoa maamuzi angeziondowa.
Hiyo ndio staili yake ya kutengeneza maudhui na kuiwasilisha. Ukitaka muelewe ukigoma kumuelewa basi hulazimishwi. Muhimu hajavunja sheria yoyote ya JF.Hebu tutolee ujinga wako wewe,Kila maada nikwa rais nikiwa rais
Uko sahii ila fahamu watanzania wanachangamoto sanaHiyo ndio staili yake ya kutengeneza maudhui na kuiwasilisha. Ukitaka muelewe ukigoma kumuelewa basi hulazimishwi. Muhimu hajavunja sheria yoyote ya JF.
Hujui madhila ya dialysis wanayopitia watu na hawana wa kuwasemeaNashauri robert anyang'anywe simu....
Mnataka tuwe tuna discuss mambo ya simba na kajala kurudiana na harmonizeNashauri robert anyang'anywe simu....
Nisamehe Mr PresidentMnataka tuwe tuna discuss mambo ya simba na kajala kurudiana na harmonize
Ila tukisema tuongelee mambo ya msingi wanasema tumechanganyikiwa