Namba mbn hazionekani?
​mkuu nina iphone 5 imedondoka last friday hadi leo haijawaka je una solution ya hili???mana nimejaribu kuirestore through itune imekataa
Kweli siamin shilingi ngapi
kama iphone yako ni clean maana kwamba its not lost,erased ama stolen inawezekana kuitoa na ukatumia kama iphone nyngn but kama imekuwa reported utaweza kuitumia kama ipod,camera n simu inayotumia wireless internet tu.Hapo bado sijaelewa ina maana unatoa na simu inatumika kupiga na kupokea km kawaida au inatumika kama ipod na camera tu
Ofisi zipo wapi mkuu?
kama iphone yako ni clean maana kwamba its not lost,erased ama stolen inawezekana kuitoa na ukatumia kama iphone nyngn but kama imekuwa reported utaweza kuitumia kama ipod,camera n simu inayotumia wireless internet tu.
usilolijua ni sawa na usiku wa giza neneWajinga ndiyo waliwao!
sh ngap kwa service ipi mkuu. Hiyo ya iphone 4 n elfu 40 tu
hiyo dugu labda ni ifix tumie kama camera,ipod and wireless phone. If uko interested nitafute kwa my numberYangu iko kwenye stollen mode