Huduma majumbani

Huduma majumbani

Ben golden

Member
Joined
May 12, 2025
Posts
16
Reaction score
6
UNAHITAJI MSAADA MAJUMBANI?

Mimi ni kijana msomi, mwenye uzoefu wa kazi za majumbani na huduma kwa watoto.
Ninatoa huduma zifuatazo kwa malipo ya siku:

✅ Kufundisha watoto homework za shule
✅ Kukaa na kuwapa uangalizi watoto (Baby Sitting)
✅ Mapishi ya aina zote majumbani
✅ Kupika kwenye hafla ndogo

Huduma zangu ni za uaminifu, kwa siku na kwa makubaliano.
Nipo tayari kwa siku yoyote nitakayohitajika.

Wasiliana nami: 📞 0674 704 593
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom