bongo-live
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 1,564
- 1,921
Mzuka wana j. f... Nitangulize pole zangu kwanzaa kwa kadhia za maandamanoo, aisee ata mm mwenzenu tarehe 30 almanusra niende kwa rabana maulana mazeee dah staki kukumbukaa..Nlitokea kitaa huku mazese na shati langu la kijani kama kawaidaa, ghafla vijana wa gen Z wakanikimbiza mno dah... Ikawa mguuu niponyee.. Hawa vijana ni sheedah, nmepiga dozi ya diclopaa kijipooza...
Kwenye mada sasaa... Miezi imepita kama kumi na moja hivi nilipatana na toto zuriii la kisomalii mazeee sikuamini macho yanguuuu dah... Huwa nawinda sana maeneo ya masjid nur hapa jijinii...tulizama kwenye huba zitooo, macho ya gololiii! Mauno ya nyiguuu...
Kwa ufupi toto tamu mnooo kwenye sanaa mazeee. Toto linakeshaa kwenye hogo langu la kisukumaaa
Usiku kucha! Kwenye ndinga langu sasa ndio usisemeeni maboro fc vs kipochi manyonyaaa...
Ila juzi kati kabdilika ghafla baada ya kuona yale matamko ya mashehe wa Dar mazee, hatoi ushirikiano kama hapo zamani jmnanii... Nitoe wito, wale mashehe wazuiwee tu wanatuharibia mnoo huku kitaa..