Huawei

lats

Member
Joined
Nov 29, 2013
Posts
41
Reaction score
6
Jaman hz sim za huawei Y300-100 zinasumbua saaaana hadi kero, ukiongea na mtu mawasiliano yavurugika ghafla.we unamskia lakin yeye hakuskii.mwenye kujua mahali ambapo naweza kutenengezewa anisaidie coz naskia cjui hazifanyiwa setting ya tz dats y zinamizengwe..msaada jaman pls!
 
Mi mbona haijawahinisumbua? Nina Y300..nenda kwenye ofisi zao
 
Wewe utakua hujui kutumia au uliuziwa feki.Ziko poa sana hizo sim.
 
hazina shida unless unedownload viber latest version ndo inasumbua.. kama ni hivyo uninstall itakua poa
 
nenda ofisi za tigo watakusaidia. mi cm yangu ilikua name hilo tatizo wamerekebisha now IPO fresh
 
Invisible ipeleke jukwaa la tech&gagets
 
Jamani nauza blackberry 8980 mpya imetumika kwa wiki moja nauza na kila kitu chake original serious buyer aniwhatsapp kwny 0768-020787
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…