Apps zinatengenezwa na developers wala hazina uhusiano na google Mimi na weweCompatible Kwa apps za Android wakati nimesikia wamewekewa vikwanzo kua hawaruhusiwi kutumia apps za Android kwenye os yao kama vile whatsapp facebook instagram and twitter.
Sijasema hizo apps zina uhusiano na Google..Apps zinatengenezwa na developers wala hazina uhusiano na google Mimi na wewe
kwa kutumia programming language mbalimbali tunaweza kuunda apps
Compatible Kwa apps za Android wakati nimesikia wamewekewa vikwanzo kua hawaruhusiwi kutumia apps za Android kwenye os yao kama vile whatsapp facebook instagram and twitter.
Kuwa compatible maana yake ukiunda app kwa ajili ya android basi itaweza kurun pia kwenye hiyo os yao.mfano application kama ya jf haitahitajika kutengenezwa upya bali utabidili vitu vichache na kutumia kama ilivyo kwenye os yaoSijasema hizo apps zina uhusiano na Google..
Nimesema nimesikia kua hizo apps hazitakiwi kutumika kwenye Os ya Huawei endapo itajitengenezea operation system yake
Kuwa compatible maana yake ukiunda app kwa ajili ya android basi itaweza kurun pia kwenye hiyo os yao.mfano application kama ya jf haitahitajika kutengenezwa upya bali utabidili vitu vichache na kutumia kama ilivyo kwenye os yao
Sijasema hizo apps zina uhusiano na Google..
Nimesema nimesikia kua hizo apps hazitakiwi kutumika kwenye Os ya Huawei endapo itajitengenezea operation system yake
Kuwa compatible maana yake ukiunda app kwa ajili ya android basi itaweza kurun pia kwenye hiyo os yao.mfano application kama ya jf haitahitajika kutengenezwa upya bali utabidili vitu vichache na kutumia kama ilivyo kwenye os yao
Compatible Kwa apps za Android wakati nimesikia wamewekewa vikwanzo kua hawaruhusiwi kutumia apps za Android kwenye os yao kama vile whatsapp facebook instagram and twitter.
Sidhani kama unaelewa hii vita ipoje. Hii sio ya Apps wala wamiliki/ Developers. Ni vita ya Goooooogle ( Android OS developers/ owner) na kampuni ya Huawei.
Google hawataki huawei watumie OS yao ya Android kwenye simu zao.
Sooo Huawei They have to develop their own OS or otherwise Watumie MS Windows, au OS nyinginezo lakini sio Android.
Hao Developers Wa apps kama Facebook, Twitter, Whatsapp They will opt kutengeneza izo apps kwa ajili ya hiyo OS ya Huawei au wasitengeneze.
Lakini hawana uhusiano wowote na hii vita
Uko sahihi apps zinatengenezwa bila Google kushirikishwaSidhani kama unaelewa hii vita ipoje. Hii sio ya Apps wala wamiliki/ Developers. Ni vita ya Goooooogle ( Android OS developers/ owner) na kampuni ya Huawei.
Google hawataki huawei watumie OS yao ya Android kwenye simu zao.
Sooo Huawei They have to develop their own OS or otherwise Watumie MS Windows, au OS nyinginezo lakini sio Android.
Hao Developers Wa apps kama Facebook, Twitter, Whatsapp They will opt kutengeneza izo apps kwa ajili ya hiyo OS ya Huawei au wasitengeneze.
Lakini hawana uhusiano wowote na hii vita
Nahisi hapo pia wanejipanga.