yaliyomoyamo
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 603
- 452
Habari zenu wakuu!
Kwa muda mrefu nimekuwa naomba ushauri kuhusu these brands of mobile phones.
Lakin naona bado sijaridhika vizuri leo nimeonelea nije rasmi kuomba ushauri kwa mwenye kuzijua vizuri hizi phones.
Capital yangu ni about 230,000 nimepanga kununu huawei y530 ile ya tigo au Tecno M5.
Huawei y530 Nasikia ni nzuri sema tatizo Nasikia ina stuck sana sababu ina ram ndogo 512 ram. je, ni kweli ina stucks sana au sound tu?
Tecno M5 ina 1gb of ram sema tatizo Nasikia hizi simu za mediatek sio nzuri pia screen colour yake iko verry poor 256k sio 6m
So naomben ushauri kati ya hizo brand mbili hapo, ipi ni bora?
Naomba tusilete ushabiki wa aina za simu wala tusikariri Majina, kwa wenye kuzijua au waliowahi kuzitumia nitashukuru zaidi kupata maoni yao.
Toka nijue tofauti ya simu feki/clone na original haya masimu ya tecno nimeyadharau sana. Bora ninunue black and white za nokia
soma hii post ya Chief mkwawa utaelewa kwa nn inakupasa usinunua tecno
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...utumia-simu-feki-clone-copy.html#post11033470
Kumbuka hauwezi linganisha simu ya Mediatek na quallcom snapdragon
Mkuu nimepitia hiyo thread ya chief-mkwawa,
Kweli nimeshawishika kuchukua huawei y530
Lakin sasa wasiwasi wangu ni kuhusu huo huvumi wa kwamba hizi simu za huawei y530 huwa zina stucks sana?
Je, habari hizo ni za kweli au uzushi tu?
kwani tecno ni feki au clone? au hujui unachoongea?
Tecno ni feki ndo maana hata kwenye mitandao na masoko yalioendelea huzikuti
Tecno ni feki ndo maana hata kwenye mitandao na masoko yalioendelea huzikuti
Habari zenu wakuu!
Kwa muda mrefu nimekuwa naomba ushauri kuhusu these brands of mobile phones.
Lakin naona bado sijaridhika vizuri leo nimeonelea nije rasmi kuomba ushauri kwa mwenye kuzijua vizuri hizi phones.
Capital yangu ni about 230,000 nimepanga kununu huawei y530 ile ya tigo au Tecno M5.
Huawei y530 Nasikia ni nzuri sema tatizo Nasikia ina stuck sana sababu ina ram ndogo 512 ram. je, ni kweli ina stucks sana au sound tu?
Tecno M5 ina 1gb of ram sema tatizo Nasikia hizi simu za mediatek sio nzuri pia screen colour yake iko verry poor 256k sio 6m
So naomben ushauri kati ya hizo brand mbili hapo, ipi ni bora?
Naomba tusilete ushabiki wa aina za simu wala tusikariri Majina, kwa wenye kuzijua au waliowahi kuzitumia nitashukuru zaidi kupata maoni yao.
kaka kama una matumizi mengi achana nayo, tafuta moto e. japo sijui wapi pa kukwambia utakapoipata ila zunguka madukani kwa bahati unaweza kuipata.
pia kama una uelewa kidogo wa kueka rom narecomend zaidi nokia x2.
Asante mkuu, kwa hapa dar zinaweza patikana wapi hizo moto e?
Maana leo nimezunguka maduka mengi kariakoo sijaziona mkuu.
Na unaweza ku reccomend price yake inakuaje?
Ili wajanja wasije kunipiga na price ya juu sana mkuu?
Nicheki nikupe s2 I9100