hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,889
- 2,799
Nna hiyo simu tajwa hapo Juu ila cha kushangaza kuna baadhiya apps nashindwa kuinstall kila wakati inasema memory low inaleta error lakini uhalisia ni kwamba memory card ina space kubwa na hata inbuilt memory Yake ina space bado imebaki.
Nini tatizo na utatuzi wake?
Nini tatizo na utatuzi wake?