kalendi JF-Expert Member Joined Mar 17, 2012 Posts 1,385 Reaction score 642 Jun 9, 2018 #1 Ndg wanajamvi heshima kwenu! Nina huawei tajwa hapo juu natamani kui root nitumie app ipi ili niweze kufanikisha kwa ufanisi?
Ndg wanajamvi heshima kwenu! Nina huawei tajwa hapo juu natamani kui root nitumie app ipi ili niweze kufanikisha kwa ufanisi?
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,972 Reaction score 168,463 Jun 9, 2018 #2 kalendi said: Ndg wanajamvi heshima kwenu! Nina huawei tajwa hapo juu natamani kui root nitumie app ipi ili niweze kufanikisha kwa ufanisi? Click to expand... Mshana Jr ni mtaalam wa mambo ya rohoni, kuna post yake alisema Kila kitu kina roho hata simu yako. Ngoja tumuite atuelekeze namna ya kufanya rooting kwenye ulimwengu wa roho
kalendi said: Ndg wanajamvi heshima kwenu! Nina huawei tajwa hapo juu natamani kui root nitumie app ipi ili niweze kufanikisha kwa ufanisi? Click to expand... Mshana Jr ni mtaalam wa mambo ya rohoni, kuna post yake alisema Kila kitu kina roho hata simu yako. Ngoja tumuite atuelekeze namna ya kufanya rooting kwenye ulimwengu wa roho
Kkimondoa JF-Expert Member Joined May 31, 2014 Posts 4,452 Reaction score 4,938 Jun 9, 2018 #3 kingroot ndiyo jibu la kuroot kwako
kalendi JF-Expert Member Joined Mar 17, 2012 Posts 1,385 Reaction score 642 Jun 9, 2018 Thread starter #4 Kkimondoa said: kingroot ndiyo jibu la kuroot kwako Click to expand... Samahani inapatikana saiti gani? Maana naitafuta playstore haipatikani.
Kkimondoa said: kingroot ndiyo jibu la kuroot kwako Click to expand... Samahani inapatikana saiti gani? Maana naitafuta playstore haipatikani.