Huawei y300 duka gani zipatikana kwa arusha

Huawei y300 duka gani zipatikana kwa arusha

Ngosha255

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2013
Posts
430
Reaction score
512
Kama kuna anayejua zinapouzwa simu tajwa hapo juu anijulishe
Hata na bei kama inawezekana
pamoja namba ya muuzaji if pocble.
 
Nenda maduka yote ya pale stand kuu hasa Jengo la Namvua. Bei ni 230,000/ ila wanashuka.
 
Back
Top Bottom