AL SHARPTON
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,797
- 953
Je kuna uwezo wa kuiflash huko mitaani Samsung Galaxy Edge 6 iliyotoka hivi karibuni?Nitakudanganya kukwambia ninamiliki simu zote ila member wa family yangu wapo wenye iphone 6, note 4, p7, htc one nk na kama huyo mwenye p7 ndio kila kitu namfanyia mimi.
Hebu siku shika p7 halafu compare display na htc one au note 4. Njia rahisi ni kudownload picha moja kwenye simu zote tatu na nivizuri iwe picha ya ua au inayoonyesha anga ili ujue ni display ipi inaonyesha quality then mwenyewe utajua. Si kila kitu hadi uwe mtaalam wa simu ili kujua.
Je kuna uwezo wa kuiflash/unlock huko mitaani Samsung Galaxy Edge 6 iliyotoka hivi karibuni?Nitakudanganya kukwambia ninamiliki simu zote ila member wa family yangu wapo wenye iphone 6, note 4, p7, htc one nk na kama huyo mwenye p7 ndio kila kitu namfanyia mimi.
Hebu siku shika p7 halafu compare display na htc one au note 4. Njia rahisi ni kudownload picha moja kwenye simu zote tatu na nivizuri iwe picha ya ua au inayoonyesha anga ili ujue ni display ipi inaonyesha quality then mwenyewe utajua. Si kila kitu hadi uwe mtaalam wa simu ili kujua.
Processor yao ya kirin mpya (930 kama sjakosea) imepitwa na snapdragon 810 na 808.
Tunaziita snapdragon ni failure mwaka huu je huawei anakuwa nani?
Kuna simu mbili tu zenye hadhi ya flagship ambazo ni s6 na iphone 6 zilizobakia chip zake ni weak sana.
Kwenye kirin huawei ame opt overclocked cortex a53 kama mediatek. Mimi naona huawei yupo vizuri kwenye low end simu kama y550 ni nzuri sana.
1. Hawana processor ambazo ni top notch, kama exynos za samsung au A series za apple
2. Camera zao ni average hawana contract ambayo inawafanya wawe kipekee kama nokia pureview (toshiba na zeiss), apple (sony), samsung na isocell, nk
3.hawana display ambazo ni quality kubwa kama apple na retina, samsung na amoled, lg na oled nk wanatumia ips display za kawaida au tft
Ukija kwenye mic, speaker, na vyenginevyo yupo nyuma.
Do u know huawei z the one of largest technology company in the world? Tell me wat z so special in sumsung o lg that huawei doesn't have. Nimetumia Samsung n iPhone , juc ni mind set yako kwani lg ana ukongwe gani kwenye smart phone.
1. Hawana processor ambazo ni top notch, kama exynos za samsung au A series za apple
2. Camera zao ni average hawana contract ambayo inawafanya wawe kipekee kama nokia pureview (toshiba na zeiss), apple (sony), samsung na isocell, nk
3.hawana display ambazo ni quality kubwa kama apple na retina, samsung na amoled, lg na oled nk wanatumia ips display za kawaida au tft
Ukija kwenye mic, speaker, na vyenginevyo yupo nyuma.
Huawei ni simu average hawajafika level za kina samsung sony lg htc ila wanajitahidi. Kitu kizuri nilichopenda kwa hawa jamaa ni emotion ui (user interface yake) imekaa kidunia yetu zaidi jamaa wamemodify mambo mengi sana kama vile kuieka mobile network juu kabisa kwenye settings.
Kwenye ubora wa betri wamewapita HTC, Samsung, Apple, Sony, LG nk.
Umenifungua macho, nataka kinunua smart 4ne ambayo inakaa na charge n in processor ambayo no fast somehow. My budget is 1m and bellow.Thanx.
Kama upo comfortable na simu kubwa ambayo ni nzuri all around basi nakushauri galaxy note 4. Utapata warranty ya miaka 2 utatengenezewa na kioo kikiharibika. Simu inakaa na battery kiasi kwamba utashinda nayo siku nzima bila kuchaji (inategemea na matumizi).
Ipo pia xperia z3 compact hii nayo inakaa na chaji sana na ni nzuri pia kwenye vitu vyengine kama processor nzuri na camera ya maana.
Huawei pia wanayo simu ambayo inakaa na chaji sana inaitwa ascend mate 2 sema ni low end smartphone inauzwa bei rahisi na processor yake sio fast sana.

Ongeza na huawei mate 7 inakaa na charge kuliko hizo ulizozitaja
Mimi ni mpenzi wa simu za android, nakiri kwamba huawei ascend P7 na mate 7ni mojawapo ya simu nzuri sana. Kwa wale wapenz wa huawei fungukeni experience zenu hapa
1. Hawana processor ambazo ni top notch, kama exynos za samsung au A series za apple
2. Camera zao ni average hawana contract ambayo inawafanya wawe kipekee kama nokia pureview (toshiba na zeiss), apple (sony), samsung na isocell, nk
3.hawana display ambazo ni quality kubwa kama apple na retina, samsung na amoled, lg na oled nk wanatumia ips display za kawaida au tft
Ukija kwenye mic, speaker, na vyenginevyo yupo nyuma.
Kwa upande wa user interface sijui kwa nini mi siwakubali OEM wote wa simu za android, ndo maana huwa napenda stock androidHuawei ni simu average hawajafika level za kina samsung sony lg htc ila wanajitahidi. Kitu kizuri nilichopenda kwa hawa jamaa ni emotion ui (user interface yake) imekaa kidunia yetu zaidi jamaa wamemodify mambo mengi sana kama vile kuieka mobile network juu kabisa kwenye settings.
Kwa upande wa user interface sijui kwa nini mi siwakubali OEM wote wa simu za android, ndo maana huwa napenda stock android
Nitofautishie ubora wa tecno H6 na Boom j7 kama hutaona shida ingawa najua si mpenzi wa izi tecno zetu