Huawei vs tecno (which is the best smart phone ?)


3.Simu ikiwa na virus, maybe anaweza akawa amekaa either kwenye MicroSD au kwenye internal memory ya simu yenyewe.
Akiwa kwenye MicroSD unaweza tumia njia zote, ya kuscan kwa antivirus installed kwenye simu yako au njia ya pc au ata ya kutoa hiyo card na kuiscan iliwa nje (through maybe card reader). Usiniulize nitajuaje kama virus yupo kwrnye SD au internal memory. Sijui kwakweli.

Ila Best way ni kutumia Installed antivirus, maana ita scan memory card na simu.

4. Nimemuuliza google ananiambia best antivirus kwa android ni:
http://www.digitaltrends.com/mobile/top-android-security-apps/

na hapa


http://anti-virus-software-review.toptenreviews.com/mobile/antivirus-for-android.html
 
Last edited by a moderator:

1. kuna dalili nyingi za kuwa na virus, mara nyingi utaona behavior ambazo sio za kawaida(tofauti na ilivyokuwa mwanzo) mfano simu inakuwa slow kuboot, au inainstall program yenyewe bila ruhusa yako na zingine, hizo tu hazimaanishi kuwa iko infected maana izo pia zinaweza kuwa dalili za ugonjwa mwingine....

2. a) kuweka antivirus
b) kukwepa kuinstall applications ambazo huna uhakika nazo ie, prevent using apps from external sources japo hata baadhi zilizo goople play zina malware
c) prevent kuipa application ruhusa kufanya auto update na ruhusa zingine kama iyo app hauna uhakika nayo sana

3. kuscan kwenye pc sio solution maana pc inascan virus wa windows na simu ina system tofauti (android) so njia ni kufanya factory reset au hata flashing kabisa kama itabidi

4. mie sina uhakika na best antivirus maana kila moja uwa ina strength na weakness zake, sasa ni wewe kuangalia ipi ina vingi unavyo vihitaji
 
kwa kuongezea kwa c6 mimi naamini simu za android ni kama asilimia 1 ndo zinaathiriwa na virusi au chini ya hapo, majanga ya android yapo kwenye aina nyengine za malware kama spyware na adware.

app zinaiba data zako zinapost online, zinakuletea matangazo kwenye notification na mambo kama hayo.

njia pekee ya kujikinga ni kudownload apps kwenye source zinazojulikana na pia ukidownload uangalie requirement za apps.

pia ujenge mazoea ya kuziangalia apps zako zinafanyaje kazi. nenda kwenye network uangalie app gani inatumia sana data. mfano unaona app ya tochi (flashlight) inatumia data ujue hapo tayari una malware.

uwe unaangalia pia kwenye task manager app gani ni sumbufu kutofungika yaani mda wote zipo on.

mimi nina ideal zangu simu yangu haikai ant virus, haikai clean master wala app za namna kama hiyo kwani hizo ndio za kwanza kueka simu kuwa slow jifunze kufanya kila kitu manual.
 

Nashukuru sana mkuu nitafanyia kazi ushauri wako.
 

Asante mdau, ila kuna katabia fulani sikaelewi, sijui kama ndiyo dalili zenyewe za viruses au vipi? Mwanzoni nilikuwa naweza ku-download mp3s vizuri kupitia sources mbalimbali ila kwa sasa niki-type wimbo nika-search link inanipeleka playstore automatically na ikifungua link inaniletea options kama speed booster.
Could this be a problem? @C6.
 

sio virusi ila mara nyingi wanakuwa ni adware hao, kinachofanyika hapo unapoclick link inafunguka page nyengine yenye link ya playstore hivyo inakutoa kwenye browser inakupeleka store. ukiwa na app ya kublock matangazo inasaidia kuwaondoa hao.
 
sio virusi ila mara nyingi wanakuwa ni adware hao, kinachofanyika hapo unapoclick link inafunguka page nyengine yenye link ya playstore hivyo inakutoa kwenye browser inakupeleka store. ukiwa na app ya kublock matangazo inasaidia kuwaondoa hao.

Nawezaje kuipata na kuitumia mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…