• Mitandao ya simu inategemea china tech.
• Tecno na 90% ya simu Tz ni China tech.
• Nguo na all life related products ni china tech.
• Usafiri wa mabus currently ni china tech.
NB: hata GF wako unampenda sababu ya china tech anazotumia!.
made in china!