Huawei update

Huawei update

Nafikiri Zaidi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
516
Reaction score
686
Nilikua nauliza hizi simu za huawei kua naweza kui update kutoka Jelly bean 4.2.2 kwenda Kit Kat 4.4.2 msaada plz
 
model ndio cha muhimu make sure watu mnavyopost weka full details sometimes unaweza fanya mtu akaoverlook
 
mie naitaji Ku_update huawei ascend y530-U00 niipeleke Android version ya juu zaidi may be kit kat au lolipop..msaada jaman
Chief-Mkwawa
 
Mie naomba msaada kuupdate galaxy tab3 yangu iende angalau kwenye kitkat.....msaada plz!!!

Hakuna official update na custom rom kama hujui kufanya mwenyewe nakushauri tu achana nazo maana utakwenda kutana na bugs za kutosha tu huko mbele ya safari mwisho wa siku utakua we muda wako wote ni kusolve vitu tu kwenye tab yako
 
Mi sio mzoefu wa simu ila nimesoma imeandikwa Android 4.4.2 sijui ndo version gani hiyo
 
Back
Top Bottom