hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,391
- 80,373
Hahaha
Mnamponda mchina wakati asilimia 99.8% mnatumia bidhaa zake. Mnachekesha sana
Mnamponda mchina wakati asilimia 99.8% mnatumia bidhaa zake. Mnachekesha sana
Hahaha
Si ajabu hata chupi na sidiria wanatumia za mchina
Mm wananishangaza sana hawa mahaba, utakuta mtu anajikaza humu anapinga mchina wakati ktk room aliopangisha au nyumba anayoishi ni made in China [emoji630] tupu, mpaka hio simu alionayo anayocomment upuuzi ni made in China [emoji23][emoji23][emoji23]
Waswahili hawaishiwi vituko mkuu, huwa nawaenjoy sana [emoji16][emoji16][emoji16] sometimes namalizia stress zangu humu humu [emoji16][emoji16][emoji16]
Ni delay tactic ili US jitafakari...mchina hakurupuki....Xi strategist matata vivo hivyo kwa wachina wengine.PROCHINA SIJUI WANASEMAJE
jwa nani anayekurupuka acha kuchambua upande mmojaNi delay tactic ili US jitafakari...mchina hakurupuki....Xi strategist matata vivo hivyo kwa wachina wengine.