Huawei sasa yasema kuwa, 'HongMeng OS' si mbadala wa Android

FRANC THE GREAT

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2016
Posts
5,500
Reaction score
8,067
Huawei sasa yasema kuwa, 'HongMeng OS' si mbadala wa Android. Ni nini kinaendelea?

Katika hali isiyotarajiwa, Huawei imetangaza kuwa mfumo wake wa uendeshaji wa simu 'HongMeng' si mbadala wa Android kama ilivyokuwa ikisemekana hapo awali.

Mfumo huo ambao kwa kipindi cha hivi karibuni ilifahamika kuwa huenda ungekua mbadala wa Android kwa kampuni ya Huawei utakaotumika katika matoleo mapya ya simu watakayoyatoa ikiwa ni baada ya lile zuio la Rais wa Marekani, Donald Trump kwa Kampuni za Kimarekani kutofanya kazi na Huawei, lakini ukweli ni kwamba mfumo huo si mbadala wa Android.

Mwenyekiti wa kampuni hiyo, Liang Hua amesema;

"Mfumo huo wa HongMeng upo kwa ajili ya baadhi ya vifaa vingine lakini katika swala la 'Smartphones' bado Android ni chaguo letu la kwanza na wala hatujafanya maamuzi yeyote kuhusu HongMeng kutumika na 'Smartphones' hapo baadaye."

1563194840944.png

Soma Zaidi:

Huawei is now saying its HongMeng OS is not an Android alternative. What's going on?

In a surprising turn of events, Huawei has announced that its supposed Android operating system replacement HongMeng OS is in fact not an Android replacement.

Huawei first announced its in-house mobile operating system when U.S. president Donald Trump banned companies from working with Huawei.

One of the major companies was Google. That would mean Huawei would not have access to Android updates and Google Services would not work on its devices.

1154159

But Huawei was prepared for the ban and announced at the time, what would be its 'Android operating system replacement' HongMeng OS.

Huawei CEO Ren Zhengfei even claimed it's 60% faster than Android and MacOS. But there was no actually footage or images of the operating system running on any device.

Huawei Vice president Andrew Williamson said, "Huawei is in the process of potentially launching a replacement. It’s not something Huawei wants. We’re very happy of being part of the Android family, but Hongmeng is being tested, mostly in China."

However, the company recently published a trademark for a new mobile operating system called 'Harmony' but they did not share any other information on it.

At the same time, Huawei executive Liang Hua said;

"The Hongmeng OS is primarily developed for IoT devices that will reduce latency… In terms of smartphones, we are still using the Android operating system and ecosystem as a 'first choice'.”

"We haven’t decided yet if the Hongmeng OS can be developed as a smartphone operating system in the future."

Which seems rather odd as the company was flexing on how HongMeng OS, and not Harmony, was going to power its smartphones.

Don't worry, we're as confused as you are on what Huawei is doing. But there could be an explanation for this.

Because the ban on Huawei was lifted, it sees no point in developing an Android alternative as it has been working perfectly well on its devices for a long time now.

Retooling HongMeng OS for IoT to support its devices could be a solution to strengthen its ecosystem. Thus the name, 'Harmony'.

Again, this is all guesswork, so let's wait and see what Huawei has to say about all of this.

Sources: Mashable SE Asia
 
China hata kitu cha maana kinachoweza kua replacement ya android. Professor mmoja wa Peking University ya China alisema mwaka jana kua Chinese Technology is built on sand. Ikitokea upepo au maji mchanga wote unazolewa. Ikiwa Trump atashikilia msimamo wa kutokuiuzia Huawei teknolojia, utakufa kama ilivyokufa ZTE.

mwaka 2014 China ilipiga mkwara kua itakuja na OS yao ya computers, wakaiita China Operating System(COS) lakini hakuna matokeo yoyote ya maana.

China anahitaji kupunguza utegemezi kwenye teknolojia ya kimagharibi ila anahitaji muda mrefu sana. Safari bado ni ndefu kwao.
 
Kwahio mnasemaje wazee, tumsanue Trump akaze vyuma tu ama nini?

😃😃😃😂😂😂 maana mchina kaifanya Android shamba la bibi hadi vi screen vimeanza ku replace Audio system za magari nazo ni Android tu kwa sasa.
 
Huenda wameona haina haja ya kuwa na mbadala na hiyo ni baada ya Kampuni za Marekani kuruhusiwa kuendelea kufanya nao kazi.
Trump ana style moja ya kuondoka mezani kwenye deal, akitegemea mtamuita na kumnyenyekea mpaka mumpe deal analotaka yeye.

Hizi habari kazifanya sana kwenye biashara ya Real Estate New York, sasa anataka kuzipeleka kwenye geopolitics.

Wachina washamjua anataka kufanya nini na wanam time tu.

Kwa sasa wananunua muda kujipanga vizuri tu, kwa sababu hili zoezi lilikuja ghafla sana.

Watajifanya kama hawataki kushindana na Android, halafu wakikaa vizuri wakijipanga utasikia wanakuja na kitu cha kupambana na Android.
 
Dont trust Chinese they know how to play political business, jamaa wana play low profile ili USA asinzie.
Huawei sasa yasema kuwa, 'HongMeng OS' si mbadala wa Android. Ni nini kinaendelea?

Katika hali isiyotarajiwa, Huawei imetangaza kuwa mfumo wake wa uendeshaji wa simu 'HongMeng' si mbadala wa Android kama ilivyokuwa ikisemekana hapo awali.

Mfumo huo ambao kwa kipindi cha hivi karibuni ilifahamika kuwa huenda ungekua mbadala wa Android kwa kampuni ya Huawei utakaotumika katika matoleo mapya ya simu watakayoyatoa ikiwa ni baada ya lile zuio la Rais wa Marekani, Donald Trump kwa Kampuni za Kimarekani kutofanya kazi na Huawei, lakini ukweli ni kwamba mfumo huo si mbadala wa Android.

Mwenyekiti wa kampuni hiyo, Liang Hua amesema;

"Mfumo huo wa HongMeng upo kwa ajili ya baadhi ya vifaa vingine lakini katika swala la 'Smartphones' bado Android ni chaguo letu la kwanza na wala hatujafanya maamuzi yeyote kuhusu HongMeng kutumika na 'Smartphones' hapo baadaye."

View attachment 1154166

Soma Zaidi:

Huawei is now saying its HongMeng OS is not an Android alternative. What's going on?

In a surprising turn of events, Huawei has announced that its supposed Android operating system replacement HongMeng OS is in fact not an Android replacement.

Huawei first announced its in-house mobile operating system when U.S. president Donald Trump banned companies from working with Huawei.

One of the major companies was Google. That would mean Huawei would not have access to Android updates and Google Services would not work on its devices.

View attachment 1154159

But Huawei was prepared for the ban and announced at the time, what would be its 'Android operating system replacement' HongMeng OS.

Huawei CEO Ren Zhengfei even claimed it's 60% faster than Android and MacOS. But there was no actually footage or images of the operating system running on any device.

Huawei Vice president Andrew Williamson said, "Huawei is in the process of potentially launching a replacement. It’s not something Huawei wants. We’re very happy of being part of the Android family, but Hongmeng is being tested, mostly in China."

However, the company recently published a trademark for a new mobile operating system called 'Harmony' but they did not share any other information on it.

At the same time, Huawei executive Liang Hua said;

"The Hongmeng OS is primarily developed for IoT devices that will reduce latency… In terms of smartphones, we are still using the Android operating system and ecosystem as a 'first choice'.”

"We haven’t decided yet if the Hongmeng OS can be developed as a smartphone operating system in the future."

Which seems rather odd as the company was flexing on how HongMeng OS, and not Harmony, was going to power its smartphones.

Don't worry, we're as confused as you are on what Huawei is doing. But there could be an explanation for this.

Because the ban on Huawei was lifted, it sees no point in developing an Android alternative as it has been working perfectly well on its devices for a long time now.

Retooling HongMeng OS for IoT to support its devices could be a solution to strengthen its ecosystem. Thus the name, 'Harmony'.

Again, this is all guesswork, so let's wait and see what Huawei has to say about all of this.

Sources: Mashable SE Asia
 
China hata kitu cha maana kinachoweza kua replacement ya android. Professor mmoja wa Peking University ya China alisema mwaka jana kua Chinese Technology is built on sand. Ikitokea upepo au maji mchanga wote unazolewa. Ikiwa Trump atashikilia msimamo wa kutokuiuzia Huawei teknolojia, utakufa kama ilivyokufa ZTE.

mwaka 2014 China ilipiga mkwara kua itakuja na OS yao ya computers, wakaiita China Operating System(COS) lakini hakuna matokeo yoyote ya maana.

China anahitaji kupunguza utegemezi kwenye teknolojia ya kimagharibi ila anahitaji muda mrefu sana. Safari bado ni ndefu kwao.
Jamaa unavyomsema vibaya mchina utazani TZ kuna OS yake, Mshukuru sana China kafanya vitu vya electronics vikawa bei rahisi na kuvipata pia ikawa hivyo. Miaka tunaanza kutumia mobile phone acha tu Mzungu ni mbaguzi sana.
 
Trump ana style moja ya kuondoka mezani kwenye deal, akitegemea mtamuita na kumnyenyekea mpaka mumpe deal analotaka yeye.

Hizi habari kazifanya sana kwenye biashara ya Real Estate New York, sasa anataka kuzipeleka kwenye geopolitics.

Wachina washamjua anataka kufanya nini na wanam time tu.

Kwa sasa wananunua muda kujipanga vizuri tu, kwa sababu hili zoezi lilikuja ghafla sana.

Watajifanya kama hawataki kushindana na Android, halafu wakikaa vizuri wakijipanga utasikia wanakuja na kitu cha kupambana na Android.
Tena watapiga shambulizi moja kisha soko la Android litashuka, Mchina siyo wa kumchukulia poa.
 
Trump ana style moja ya kuondoka mezani kwenye deal, akitegemea mtamuita na kumnyenyekea mpaka mumpe deal analotaka yeye.

Hizi habari kazifanya sana kwenye biashara ya Real Estate New York, sasa anataka kuzipeleka kwenye geopolitics.

Wachina washamjua anataka kufanya nini na wanam time tu.

Kwa sasa wananunua muda kujipanga vizuri tu, kwa sababu hili zoezi lilikuja ghafla sana.

Watajifanya kama hawataki kushindana na Android, halafu wakikaa vizuri wakijipanga utasikia wanakuja na kitu cha kupambana na Android.
Ni kweli mchina atakuja na kitu cha kupambana na Android ila sio leo na wala haitaiondoa android sokoni kwa haraka hivyo. Kitu chochote kitakachomuja kua mbadala wa Android kitahitaji muda sana kuiondoa android sokoni. Sio jambo rahisi kabisa.

China kuja na Os yake wala haina shida, anaweza kuja nayo hata leo, tatizo liko kwenye soko. Umaarufu wa os unachangiwa na vitu vingi, wingi wa applications, urahisi wa kutengeneza applications, kuwe na hela ya kuwalipa developers ili wavutiwe kutengeneza applications na mambo kama hayo.

Jambo lingine, hiyo os inaweza kuteka soko la china ila sio la Dunia ambako whatsapp, facebook, instagram, youtube, netflix, na vitu vyote vizuri vinapatikana, je ataleta instagram yake ambayo atamshawishi C. Ronaldo ajiunge ili tumfollow, au Rihana?

Kumbuka simu pekee inayofanya vizuri sokoni kutoka China ni Huawei na nyingine ila zote ni dorminant kwa soko la China sio Duniani. Iwapo Huawei ataondolewa sokoni, ni simu gani ya kichina itapambana na kina samsung, LG, Iphone, Google Pixel, na vitu kama hizo.

Kupambana na Android sio jambo la kuamka na kufanyq, itahitaji muda na rasilimali. Binafsi naona kwa hivi karibuni haitawezekana. Alafu haki miliki nyingi za teknolojia ya simu zinamilimiwa na Marekani. Unaweza kushangaa wakamuwekea vikwazo asitumie hata android open source project.
 
Jamaa unavyomsema vibaya mchina utazani TZ kuna OS yake, Mshukuru sana China kafanya vitu vya electronics vikawa bei rahisi na kuvipata pia ikawa hivyo. Miaka tunaanza kutumia mobile phone acha tu Mzungu ni mbaguzi sana.
Mkuu, kutoa maoni hakuhusiani na uwepo wa os Tanzania. Haya ni maoni.

Tushukuru gharama za maisha kupanda huko kwa wazungu wakaamua kutafta soko rahisi la China ambapo vifaa vya electronics vikaanza kupatikana kwa urahisi.
 
Ni kweli mchina atakuja na kitu cha kupambana na Android ila sio leo na wala haitaiondoa android sokoni kwa haraka hivyo. Kitu chochote kitakachomuja kua mbadala wa Android kitahitaji muda sana kuiondoa android sokoni. Sio jambo rahisi kabisa.

China kuja na Os yake wala haina shida, anaweza kuja nayo hata leo, tatizo liko kwenye soko. Umaarufu wa os unachangiwa na vitu vingi, wingi wa applications, urahisi wa kutengeneza applications, kuwe na hela ya kuwalipa developers ili wavutiwe kutengeneza applications na mambo kama hayo.

Jambo lingine, hiyo os inaweza kuteka soko la china ila sio la Dunia ambako whatsapp, facebook, instagram, youtube, netflix, na vitu vyote vizuri vinapatikana, je ataleta instagram yake ambayo atamshawishi C. Ronaldo ajiunge ili tumfollow, au Rihana?

Kumbuka simu pekee inayofanya vizuri sokoni kutoka China ni Huawei na nyingine ila zote ni dorminant kwa soko la China sio Duniani. Iwapo Huawei ataondolewa sokoni, ni simu gani ya kichina itapambana na kina samsung, LG, Iphone, Google Pixel, na vitu kama hizo.

Kupambana na Android sio jambo la kuamka na kufanyq, itahitaji muda na rasilimali. Binafsi naona kwa hivi karibuni haitawezekana. Alafu haki miliki nyingi za teknolojia ya simu zinamilimiwa na Marekani. Unaweza kushangaa wakamuwekea vikwazo asitumie hata android open source project.

Kuna kitu huwa nakiita ni "Dharau za Kiafrika" kutoa utabiri wa uhakika wa jambo flani kufeli kabla ya kujaribu na hii tabia ndiyo inafanya Waafrika weusi tusitusue hata siku moja sababu tushajua matokeo 🤣🤣🤣!

China anajua madhaifu ya android na anajua dunia inataka nini!! Hao kina Ronaldo watafuata uelekeo wa ulimwengu maana ni hao hao waliokuwa wanatumia BBM, possibly China anaweza kuja na kitu wanaulimwengu wakakipokea kwa mkono wa kulia kama walivyopokea devices mbalimbali za China ambazo zilidharaulika hapo kabla!

Mie kwangu nautamani sana huu mtanange nione ulimwengu utasimamia wapi!!
 
Back
Top Bottom