Washika dau wangu nina ka huawei modem hapa e153 nimekachakachua mpaka zile 10 trial zikaiisha manake kalikua kanasumbua,hebu niambieni nini cha kufanya zaidi ni ka mtandao wa tigo,au havifaagi?manake ndo mara yakwanza nachakachua ka tigo,<br />
gudmon wote