mia..!11
dashboard zote zipo mzuka.
Me shida yangu ni jinsi ya kupakia screen shoot kubwa kama alivyofanya c6 siyo vidogo dogo kama aliyopakia shaffin simbamwene
hizi link ukidownload unapata audio files, hamna kitu hapo
kweli nimeamini Unaweza kuwadanganya watu flani kwa muda wote na unaweza kuwandanya watu wote kwa muda flani lakini huwezi kuwandanya watu wote kwa muda wote.
MBONA HIZO LINK ZIPO FRESH WATU TUMEPAKUA BILA TABU.
KAMA UMEKWAMA SEHEMU SEMA USAIDIWE
may beformat ya .dat mara nyingi window inaitambua inafunguka na vlc (kama unayo) au media file yoyote so first time kama ni mgeni lazma udhani umedownload video/audio file
nahisi jamaa kachanganya hapo
Hivi inaweza ikawa imetatua kale katatizo ketu ka "Auto Disconnect?"
Hiyo ni sever side mkuu hata uspotumia dashboard ukacreate manual dial up conection same issue inatokea