ze kokuyo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 7,418
- 9,599
Kwa sasa hana jinsi kutokana na kubanwa kiuchumi na westNdio najiuliza russia atakubali kuwa daraja kwa china? Hasa kwenye uwezo wa kijeshi
Kwa sasa hana jinsi kutokana na kubanwa kiuchumi na westNdio najiuliza russia atakubali kuwa daraja kwa china? Hasa kwenye uwezo wa kijeshi
Google wanasitisha Huduma zao kwenye simu za Huawei hivyo haitajalisha hzo simu zitatumia OS gani ili imradi ni Huawei bhas Huduma za Google hazitakuwepoNafikiri wanataka ku by pass playstore what if hiyo aurora OS ya russia baadae ikawa compatible kabisa application za google na playstore kwa ujumla maana hiyo aurora haijapigwa ban na google na ninavyo wajua wachina wanaweza kuweka simu ikawa na OS mbili yani unachagua tu utumie ipi
Japo kwa sasa aurora waliitengeneza isiwe inakubali android app kama wakibadilisha maamuzi inaweza kua ni game changer
Kutengeneza hizo chips si suala la Leo wala Kesho kama unavyodhani Mkuu,Ni suala linalohitaji pesa nyingi,muda, research za kutosha na wataalamu. Na unaweza fanya vyote hivyo lakini bado usifanikiweWhile the U.S. Commerce Department has granted a 90-day reprieve to Huawei, China has already been ramping up development of its own semiconductor industry — which could ultimately hurt the profits of U.S. companies.
According to Shapiro, restrictive measures in the tech space could escalate "out of control" and cause both consumers and U.S. chip companies to be "trampled."
The blacklisting of Huawei will not only push China to become more closed off to the rest of the world, but will also hinder the United States' ability to maintain "world leadership" in the technology market, Shapiro told CNBC's Arjun Kharpal.
"We have these great American chip companies ready to sell to all around the world," he said. "And the fact is, I think the U.S. policy may be really pushing China to do everything by itself, and not only put up walls around China, but we're putting up an economic fence around the United States."
If the U.S. wants to advance "and be innovative, maintain world leadership, we have to be out there in the world marketplace," he added.
Sija kupata mkuu?Na mbaya zaidi hata hiyo OS ya Russia anayoenda kuomba Russia Warusi wenyewe sio yao 100%
mkuu,allan turing,choko wa kiingerrza mwenye akili tele,baba mzazi wa kompyuta ndo aliyemmaliza hitler,pale taasisi ya ujasusi uingereza warusi walikua na double agent wao,so waingereza wakawa wanampa huyo code za nazi,urusi akawa anasonga mbele,tafuta movie ya allan turingWachoyo wa fadhila maana kipindi hicho walikuwa wamekaa kama sio ushindi wa Urusi kuanzia Stalingrad
Hiyo Aurora Operating System ya Russia, Blueprint yake imetoka kwenye OS/kampuni ya Sailfish ya Finland.Sija kupata mkuu?
Wakati Vita ya pili ya Dunia ipo mwishoni Mjerumani na Italy walishatepeta,mtu mbishi aliebakia ni Japan ambae alikiona chamoto kutoka kwa Marekani. So Marekani ndie aliemaliza WW2.Wachoyo wa fadhila maana kipindi hicho walikuwa wamekaa kama sio ushindi wa Urusi kuanzia Stalingrad
Huawei Looks To Russian Technology To Replace Google’s Android On Its Smartphones
View attachment 1124652
After Google cut Huawei off its Android operating system, the Chinese telecom giant is seeking alternatives to keep its smartphones working. A viable option has reportedly been found in Russia.
Last month, Google and a number of US tech companies were prohibited from dealing with China’s telecommunication major Huawei and other Chinese corporations. The direct order by US President Donald Trump bans American firms from supplying Huawei with spare parts or technology solutions.
The step was reportedly implemented amid high security concerns after Washington accused Chinese tech companies of spying on behalf of Beijing.
The Chinese corporation is negotiating a replacement for Android with the Aurora operating system, currently being developed by Moscow-based firm Russian Mobile Platform, Russian news outlet the Bell reports, citing an official familiar with the issue.
Huawei Chairman Guo Ping reportedly discussed the possible deal with the Russian minister of digital development and communications, Konstantin Noskov, ahead of the St. Petersburg International Economic Forum.
“China is already testing devices with the Aurora pre-installed,” the official said.
Moreover, the subject was addressed during an official meeting of Russian President Vladimir Putin with Chinese leader Xi Jinping the day before the business event. The two presidents reportedly discussed both an opportunity of installing the Aurora operating system on Huawei smartphones and localization of some of Huawei’s production facilities in Russia.
Aurora is a mobile operating system that is being developed on the basis of Sailfish OS, designed by Finnish technology company Jolla. In 2014, Russian entrepreneur Grigory Berezkin became a co-owner of Jolla. Since 2016, the Open Mobile Platform company, associated with the businessman, has been developing a Russian version of the system. Last year, a 75-percent share in the Open Mobile Platform was purchased by Russia’s state telecommunications company, Rostelecom.
Source: RT::Huawei looks to Russian technology to replace Google’s Android on its smartphones
Hizi nondo zako kutoka wapi, CCTV?Source FOX NEWS hao RT sio ndio propaganda voice ya Russia SOMA NONDO ZA UKWELI HAPA
When Donald Trump first floated the idea of imposing tariffs on Chinese goods as retaliation for China’s long history of illegal trade practices, many so-called experts doubted that the president’s bold tactic would succeed. Skeptics in the mainstream media relentlessly warned that tariffs would only hurt the U.S. economy by stifling GDP growth and job creation, and the European Central Bank even predicted that China would emerge from the “trade war” unscathed.
The critics, as it turns out, vastly overestimated both the resilience of China’s economy and the vulnerability of America’s economy. Since President Trump first implemented the tariffs, the communist regime has been battered by economic uncertainty and faltering growth while the U.S. has enjoyed a level of prosperity not seen for a generation.
In 2018, for instance, China’s GDP grew at its slowest rate in 28 years, forcing Beijing to implement a massive stimulus to forestall economic collapse. While the stimulus appears to have succeeded in temporarily arresting the freefall, China’s authoritarian government has a habit of manipulating official economic data, and experts say there are signs that recent figures have been artificially inflated as companies “front-load” exports in anticipation of new tariffs.
The International Monetary Fund (IMF) also recently concluded that U.S. tariffs have had a “significant” impact on China, causing the IMF to lower its forecast for China’s future growth.
Unfortunately for Beijing, many of its domestic industries are beginning to crumble under the pressure of President Trump’s aggressive trade strategy, raising doubts about the country’s ability to endure a protracted stalemate in its ongoing trade negotiations with the U.S. Last month, for instance, the South China Morning Post reported that China’s dying Northeastern rust belt, once a main industrial hub, is “struggling to retain population as economic slowdown speeds up exodus.”
Tellingly, Xi refuses to acknowledge his country’s economic weakness, insisting that “China’s economy bears the supporting conditions for stable, healthy, and sustainable growth.” That heavily-qualified denial doesn’t convey much confidence, though, and the fact that Xi felt compelled to defend the strength of his country’s economy during an interview with Chinese and Russian media shortly before meeting with Putin only makes Xi’s braggadocio seem even more contrived.
In reality, China’s recent outreach to Russia is nothing but a desperate cry for help — the communist regime is incapable of keeping up with the booming U.S. economy or maintaining the sky-high GDP growth necessary to mollify its oppressed population while it struggles under American tariffs.
In the past, Russia’s relative economic impotence made it a relatively unattractive partner for Beijing — but today, the hard-pressed Chinese government simply has no other choice but to reach out for any lifeline it can find.
Nonetheless, Xi will find his next meeting with President Trump during the G20 summit in Japan later this month much more productive for his economy than his recent meeting with Putin — provided he’s ready to face reality and negotiate a new trade deal that’s finally fair for the United States.
Otherwise, Xi’s desperation will only increase as his economy continues to suffer.
Kwema mkuu!Kutengeneza hizo chips si suala la Leo wala Kesho kama unavyodhani Mkuu,Ni suala linalohitaji pesa nyingi,muda, research za kutosha na wataalamu. Na unaweza fanya vyote hivyo lakini bado usifanikiwe
Wakati Vita ya pili ya Dunia ipo mwishoni Mjerumani na Italy walishatepeta,mtu mbishi aliebakia ni Japan ambae alikiona chamoto kutoka kwa Marekani. So Marekani ndie aliemaliza WW2.
mkuu,allan turing,choko wa kiingerrza mwenye akili tele,baba mzazi wa kompyuta ndo aliyemmaliza hitler,pale taasisi ya ujasusi uingereza warusi walikua na double agent wao,so waingereza wakawa wanampa huyo code za nazi,urusi akawa anasonga mbele,tafuta movie ya allan turing
Kwani kukiwa na multiple OS kuna shida gani?Kwanini wasiitumie hiyo ya kwao Mkuu? Naona Mchina ule msemo wa mtegemea cha ndugu hufa masikini bado haujamwingia akilini na kumpa somo kwa sakata hili
Nani aliye muangamiza mjerumani(hilter nazi)Wakati Vita ya pili ya Dunia ipo mwishoni Mjerumani na Italy walishatepeta,mtu mbishi aliebakia ni Japan ambae alikiona chamoto kutoka kwa Marekani. So Marekani ndie aliemaliza WW2.
Mshikaji huenda historia ilimpita kushoto hajiulizi kwa nini V day huwa ina sherekewa pale Moscow,Russia hawa warusi walijitoa sana na walikufa sana hata rais wa france amekiri jana kwamba baadhi scholar wa europe wana jaribu kufuta historiaAliepata mafanikio ya kueleweka dhidi ya mjerumani katika ile Vita alikuwa ni Mrusi. Nadhani unakumbuka London Blitz, Mrusi alipoanza kumpiga mjerumani kutoka mashariki ndio hata wale waliokuwa wanatokea magharibi wakapata hewa
Vikosi bora vya mjerumani ndio vilienda Urusi(operation Barbarossa), hesabu ilikuwa Mrusi amalizwe mapema ili resources ziwe secured halafu hawa wa huku wamalizwe
Mshikaji huenda historia ilimpita kushoto hajiulizi kwa nini V day huwa ina sherekewa pale Moscow,Russia hawa warusi walijitoa sana na walikufa sana hata rais wa france amekiri jana kwamba baadhi scholar wa europe wana jaribu kufuta historia
‘New rules of trust & security’: Macron wants EU ties with Moscow independent of NATO & US https://www.rt.com/news/461643-macron-close-ties-russia/Wakati Vita ya pili ya Dunia ipo mwishoni Mjerumani na Italy walishatepeta,mtu mbishi aliebakia ni Japan ambae alikiona chamoto kutoka kwa Marekani. So Marekani ndie aliemaliza WW2.
Unaongea nini wewe.Kwa hiyo Fox news sio propaganda media ya USA?.Uko dunia gani wewe?Source FOX NEWS hao RT sio ndio propaganda voice ya Russia SOMA NONDO ZA UKWELI HAPA