Hata android ni base ya linux ambayo chanzo chake ni finland.Na mbaya zaidi hata hiyo OS ya Russia anayoenda kuomba Russia Warusi wenyewe sio yao 100%
Hata android ni base ya linux ambayo chanzo chake ni finland.Na mbaya zaidi hata hiyo OS ya Russia anayoenda kuomba Russia Warusi wenyewe sio yao 100%
Sio rahisi kiivyo,Mmarekani atakwenda kule kwa Mmiliki Mbwa/Sailfish ya Finland ili aipige kitanzi hiyo Aurora.Nafikiri wanataka ku by pass playstore what if hiyo aurora OS ya russia baadae ikawa compatible kabisa application za google na playstore kwa ujumla maana hiyo aurora haijapigwa ban na google na ninavyo wajua wachina wanaweza kuweka simu ikawa na OS mbili yani unachagua tu utumie ipi
Japo kwa sasa aurora waliitengeneza isiwe inakubali android app kama wakibadilisha maamuzi inaweza kua ni game changer
Hata akipiga kitanzi ni open source itakua haina shida na hapa sasa monopoly ya google ndipo itakapo kuja kufa kama kila mtu akimpiga ban unadhani nini kitatokea kama sio haya mataifa kujitegemea?Sio rahisi kiivyo,Mmarekani atakwenda kule kwa Mmiliki Mbwa/Sailfish ya Finland ili aipige kitanzi hiyo Aurora.
Ku develop chip sio rahs kama unavodhani. Hasa architecture ya Ya ARM inayodaiwa kuwa customized ku run smooth katika udogo wake.
Pili, hawezi uziwa na kampuni nyingine yeyote maana makampuni mengine kama intel wote wanafyata kwa marekani. Kwa mfano ARM sio ya kimarekani kwa asili lakini bado wamezingia mpk wingereza huko. Solition ni aje na chip zake na tecnolojia yake. Inawezekama ila sio mwaka mmoja au miwili.
Hahahhahaha Mkuu Xi kaenda Russia kuomba poo.
Hata akipiga kitanzi ni open source itakua haina shida na hapa sasa monopoly ya google ndipo itakapo kuja kufa kama kila mtu akimpiga ban unadhani nini kitatokea kama sio haya mataifa kujitegemea?
Aurora haijapigwa ban na google, ila Huawei imepigwa ban isitumie american apps kama Facebook, instagram, whatsapp na mambo kama hayo. Hivyo app yoyote ya kimarekani haitakubaliwa kua installed kwenye simu za Huawei.Nafikiri wanataka ku by pass playstore what if hiyo aurora OS ya russia baadae ikawa compatible kabisa application za google na playstore kwa ujumla maana hiyo aurora haijapigwa ban na google na ninavyo wajua wachina wanaweza kuweka simu ikawa na OS mbili yani unachagua tu utumie ipi
Japo kwa sasa aurora waliitengeneza isiwe inakubali android app kama wakibadilisha maamuzi inaweza kua ni game changer
Kama aurora ita support android app ikiwemo na playstore unafikiri zitashindwa kufanya kazi kwenye huawei devices?Aurora haijapigwa ban na google, ila Huawei imepigwa ban isitumie american apps kama Facebook, instagram, whatsapp na mambo kama hayo. Hivyo app yoyote ya kimarekani haitakubaliwa kua installed kwenye simu za Huawei.
Bado hakuna suluhisho la kudumu kwenye hayo mambo.
Ndicho hicho nilichokuwa nakiangalia Mkuu,hapa Mchina anamtafutia matatizo Aurora na Mama yake Mzazi Sailfish.Aurora haijapigwa ban na google, ila Huawei imepigwa ban isitumie american apps kama Facebook, instagram, whatsapp na mambo kama hayo. Hivyo app yoyote ya kimarekani haitakubaliwa kua installed kwenye simu za Huawei.
Bado hakuna suluhisho la kudumu kwenye hayo mambo.
Hivi tujiulize Russia atakubali china kuwa supper power yeye akiangalia?
Urafiki china na russia ni wa mashaka kuliko russia na usa
Toka lini wazungu wakachukiana?
Ukiangalia raia wakawaida kati ya russia na usa wanaishi poa sana
Wanafiki tu wale wazungu maana mrusi ndiye aliye wanusuru kutoka hilter na nazi yake.Kwa karne na Karne wazungu wa Ulaya wamekuwa hawawapendi Warusi, Ufaransa utaona Napoleon alifikiria nini dhidi ya Warusi, Mjerumani nae katika Karne ya 20 alimhujumu vipi Mrusi na Uingereza nadhani hata wewe unajua
Russia na USA walishawi kushirikiana kumtandika Hitler [emoji3][emoji3]km sijakoseaKwa karne na Karne wazungu wa Ulaya wamekuwa hawawapendi Warusi, Ufaransa utaona Napoleon alifikiria nini dhidi ya Warusi, Mjerumani nae katika Karne ya 20 alimhujumu vipi Mrusi na Uingereza nadhani hata wewe unajua
Mbona walikuwa wanadai watatengeneza ya kwao. China bado sana.
Kwanini wasiitumie hiyo ya kwao Mkuu? Naona Mchina ule msemo wa mtegemea cha ndugu hufa masikini bado haujamwingia akilini na kumpa somo kwa sakata hiliYakwao ipo tayari mkuu inaitwa ark os
Wataongea lugha zote, hii ban ya Trump lazima watubu [emoji3].Mbona walikuwa wanadai watatengeneza ya kwao. China bado sana.
Huu urafiki wa China (huawei) na Russia ni kama urafiki wa Tom na Jerry ni shida fulani tu ndiyo iliyowaunganisha[emoji3].Hivi tujiulize Russia atakubali china kuwa supper power yeye akiangalia?
Urafiki china na russia ni wa mashaka kuliko russia na usa
Toka lini wazungu wakachukiana?
Ukiangalia raia wakawaida kati ya russia na usa wanaishi poa sana
HAta siku moja Ru na Chi hawawezi kuogopana.Hivi tujiulize Russia atakubali china kuwa supper power yeye akiangalia?
Urafiki china na russia ni wa mashaka kuliko russia na usa
Toka lini wazungu wakachukiana?
Ukiangalia raia wakawaida kati ya russia na usa wanaishi poa sana
Wanafiki tu wale wazungu maana mrusi ndiye aliye wanusuru kutoka hilter na nazi yake.
Ndio najiuliza russia atakubali kuwa daraja kwa china? Hasa kwenye uwezo wa kijeshiHAta siku moja Ru na Chi hawawezi kuogopana.
Wao wana citu vingi vinafanana .
Angalia rais wa china na wa urusi.
Wamekaa madarakani muda gani?
Wanafanana