honor series wanawatengenezea wazungu (ulaya) huku africa wanatuletea ascend, ni rare kuzikuta honor huku. na kama ulaya inauzwa around $400 huku itakuja close na milioni 1, ni vyema tu ukatafuta flagship za mwisho wa mwaka kuliko hii simu.
Kama upo seriously unaetaka. Nitakupa mawasiliano.ya jamaa. Nicheki pm... jamaa hana duka anauza mkononi. Na warranty anatoa. Market yake kubwa ni kupatana. Na mnafanya biashara physically..... lol nimejikuta natoa promo without any payments of this ad. Cc Chief-Mkwawa. Kang

Mkuu hiyo ni sept. Embu cheki vizuri..... ningelikuonyesha ila net iko one bar... so slow. Ila na prefer utumie app yao. Itakuwa rahisi.mno ila kesho nitakuja kuonyesha na kukupa...... mawasiliano.
Kwani mkuu unataka uje ktk ufalme wetu wa android? Wp vipi?

hii simu sishida kupatikana kwangu lkn mfumo wa biashara ninao ufanya,uko tofauti kabisa nanyie sababu huwa naziagiza china,moja kwa moja baada ya mtu kulipa advance kwanza,nimewauzia wengi sana.pia unaweza weka oda kwenye mtandao wetu wa The Most Trustfull Africa Online Mall--Powered by CWB - ipo happ kuna simu nyingi sana ambazo tz hazifika tunampango wa kuzileta hapa nitafuteni kwa hii number kwa maelezo.zaidi...0712830746