Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,070
- 43,514
Hizi zinamaana gani?
Connectivity
WiFi 2.4GHz 802.11 b/g/n; BT4.0+LE;
CPU
MT6735M,4*1.0GHz(3G version:MT6582M,4*1.3GHz)
Simu kama????kwa internet inafaa sababu ina 4g
Multitasking inafaa sababu in speed kubwa na ram kubwa - QualcommMSM8939Octa-core(4×1.5GHz+4×1.2GHz) na RAM 2gb
Games inafaa --sababu ya speed na ram na Display kuuubwa 5.5
ila kuna simu nzuri zaidi ya hio kwa bei hio hio..
Nataka nibadili smartphone budget yangu 500,000 huawei GR5 Inafaa kwa fast Internet, multitasking na games?
Na mimi nilitaka hapohapoHivi hizi battery za 6250 Mah zipo kweli,unakuta simu inajinad na battery hiyo lkn ukitumia siku nzima inakata wkt wao wameandika 3days
Ina maana mAh kubwa kama 5000,6020,6250,7000,10000 ni mbwembwe tu?,na zote hapo juu hazizidi siku moja?mkuu unapozungumzia battery life ni suala pana, kama we ni mtumiaji mkubwa wa simu unatakiwa uangalie on screen time (OST) ya simu, so far duniani hakuna smartphone ambayo ina OST ya zaidi ya siku moja. mpaka zile power bank zenye simu ndani (simu za 6000mah kupanda zenye uzito zaidi ya gram 200) sana sana unakuta OST ni masaa 14 tu.
ukisikia mtu anasema simu inakaa na chaji siku 3 ujue muda mwingi hio simu kioo chake kinakuwa kimezimwa.
si mbwembwe ila kwa mtu mwenye matumizi makubwa 3000mah inaweza isha masaa 4 hadi 6 hv ikizidi sana 8 hivyo usitegemee 6000mah ikae siku 3.Ina maana mAh kubwa kama 5000,6020,6250,7000,10000 ni mbwembwe tu?,na zote hapo juu hazizidi siku moja?
Chief., kati ya hiyo huawei y3II na tecno N8 ipi ipo bomba zaidi?
zote nimeziona tigo hio tecno ni ghali kwa shilingi 5000 pia processor yake ni dual core halafu nafkiri ni 32bit wakati hio huawei processor yake ni quadcore 64bit.Chief., kati ya hiyo huawei y3II na tecno N8 ipi ipo bomba zaidi?
Hio tecno Sio 199000?zote nimeziona tigo hio tecno ni ghali kwa shilingi 5000 pia processor yake ni dual core halafu nafkiri ni 32bit wakati hio huawei processor yake ni quadcore 64bit.
hivyo hio huawei kidogo specs zake ni nzuri
yap na hio huawei ni 195,000 so tofauti kama 4900, ila si hela kubwa sana just nimesema tuHio tecno Sio 199000?
Kwaiyo hiyo huawei ndio nzuri zaidi ?yap na hio huawei ni 195,000 so tofauti kama 4900, ila si hela kubwa sana just nimesema tu
kwa specs zilizoandikwa na tigo ndio huawei ni nzuri zaidiKwaiyo hiyo huawei ndio nzuri zaidi ?
mkuu simu sio mbaya ila kama shida ni games tafuta simu yenye snapdragon 650 hizi bei zake ni nafuu na zina core 2 za cortex a72 pamoja na gpu kama adreno 510 ambayo inaziaibisha hadi baadhi ya flagship.
simu za snapdragon 650 ni kama xiaomi redmi note 3 ambayo bila shaka unaipata kwa budget yako na change inarudi.
kokote utakapoikuta snapdragon 650 kwa bei chini ya laki 6 ujue haina mpinzani
xiaomi ni kampuni mkuu ina simu nyingi na bei tofauti tofauti.mkuu xiaomi ntaipata wap kwa dar na ni tshs ngap....
mkuu ebu nipe ushauri kati ya htc desire eye na hawei p8 lite.. ipi in piga kazi zaiidxiaomi ni kampuni mkuu ina simu nyingi na bei tofauti tofauti.
upatikanaji wake ni mgumu ila kwa kenya zipo nyingi zimeanza kuuzwa sijui kama kwetu kuna wafanyabiashara wameanza kuzileta.
kuna jamaa anaziagizishia china kwa order kwa wanaotaka deogan
desire eye ni nzuri zaidimkuu ebu nipe ushauri kati ya htc desire eye na hawei p8 lite.. ipi in piga kazi zaiid
ya juu ni wifi ambayo ni 2.4ghz sio wifi ya kisasa sana ila itafanya mambo ya kawaida sawa tu.
chini ni soc yake mt6735 ambayo ni ya mediatek, version ya 4g (muhimu sana kuhakikisha kama ni hii) ina hio quad core cortex a53 1.0ghz na gpu yake ni mali 720mp2,
hio ya version ya 3g haikuhusu sababu ni soc ya simu ya 3g
Mimi ninayo..nimeagiza online Kenyamkuu xiaomi ntaipata wap kwa dar na ni tshs ngap....