Huawei g510

Huawei g510

JOBANO

Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
26
Reaction score
7
Jaman msaada kwa anaeijua huawei G510.. Vp kuhusu internet yake na ubora wa simu yenyewe
 
Liki tatu na nusu mpya. Kila kitu iko vizuri,
betri tu ndio shida.,online masaa mawili imekata
 
Liki tatu na nusu mpya. Kila kitu iko vizuri,
betri tu ndio shida.,online masaa mawili imekata

nimekusoma kaka. Pamoja sana..... Na kwa smartphone betri ni common problem. Sizani kama kuna smartphone unaweza kaa online hata 4 to 8hours
 
Back
Top Bottom