danali JF-Expert Member Joined Jan 30, 2012 Posts 1,135 Reaction score 1,675 Dec 6, 2012 #1 habari! naomba msada modem ya cdma model ec122 inawezekana kua unlocked? kama inawezekana naombeni mnifahamishe wenye uwelewa wa hii kitu natanguliza shukrani
habari! naomba msada modem ya cdma model ec122 inawezekana kua unlocked? kama inawezekana naombeni mnifahamishe wenye uwelewa wa hii kitu natanguliza shukrani
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 Dec 6, 2012 #2 hiyo hata uki unlock huwezi tumia line za kawaida mpaka zile za sasatel, zantel na ttcl tu..
danali JF-Expert Member Joined Jan 30, 2012 Posts 1,135 Reaction score 1,675 Dec 7, 2012 Thread starter #3 ndetichia said: hiyo hata uki unlock huwezi tumia line za kawaida mpaka zile za sasatel, zantel na ttcl tu.. Click to expand... ahsante mkuu nimekuelewa
ndetichia said: hiyo hata uki unlock huwezi tumia line za kawaida mpaka zile za sasatel, zantel na ttcl tu.. Click to expand... ahsante mkuu nimekuelewa