wanatamani
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 415
- 144
mazee nilijichimbia mpaka kimeeleweka .utamu zaidi baada ya kuichakachua unatumia free internet .
Masikio yako yawe karibu nami
Masikio yako yawe karibu nami
mazee nilijichimbia mpaka kimeeleweka .utamu zaidi baada ya kuichakachua unatumia free internet .
Masikio yako yawe karibu nami
Ina maana we ulikuwa hujui kama inacahakachulika. wala hukuwa na haja ya kujichimbia. Kuna uzi hapa watu wametoa link unaoleza jinsi ya kuchakachua hiyo e220 bila shida
sio hizo ulizo zoea za code reguest usikurupuke kucrash angalia model niyosema kama una weza chakachua ndio ukrash
mwana nimesema nilikuwa chimbo inamaana niliumiza kichwa naiprogram upya then hiyo internet inakuwa bure 100%
njoo upewe elimu usizoee za code request
then inkuwa na speed 7.2mb/s
by wanatamani@gmail.com
Safi shusha maujuzi hayo tuyaone kamanda
Maelekezo ya ku unlock Huawei E220 HSDPA Modem
WANAJAMII
WANATAMANI NA PRESENT Mimi Nilinunua mwenyewe modem mpya ZAIN ya Huawei E220 nanilikuwa na furaha kutumia internet na hayo. Lakini pia nilitaka kupata mtandao kupitia mitandao mingine bila kulipa ziada! Hivyo mimi niliannza kuifanyia mautundui hii Modem jinsi ya kuifungua Baada ya majaribio kadhaa, mimi hatimaye niligundua PERFECT hack ya kufungua Modem yangu Bure! Hack hii inahusisha tillvaratagande ya Huawei E220 HSDPA Modem ambayo kuamsha yake ya kutumika kwenye mtandao wowote bure. Mimi binafsi nimejaribu hii hack & kwamafanikio na sasa Unlocked Huawei E220 Modem HSDPA.