HUAWEI ascend Y300 unlock Application

HUAWEI ascend Y300 unlock Application

diso

Member
Joined
May 15, 2013
Posts
20
Reaction score
0
Mambo vipi wana Jamii Forum?naomba kuuliza je kuna Application ambayo inaweza ku unlock huawei ascend y300 na ikawa inaweza kutumia line za mitandao tofauti badala ya kutumia line moja?naomba kuwasilisha.

huawei.jpg
 
hey nenda jukwaa la tech il umepotea njia af kwa kfup nijuavo hamna application ya namna iyo na ka ipo bas mpaka uiroot fon yako kwanza
 
Tatizo unapenda vitu vizuri halafu unataka slop hahaha nenda Kkoo ukaambiwe kuflash 50000.
 
Back
Top Bottom