Ipo bei laki na nusu ipo na kila kitu chake imetumika wiki 3 nicheki kwa 0717022737
Hivi simu used unaweza pata hadi na box lake? Kweli haukoserious, nenda tu dukani ukanunueWadau nitji simu tajwa hapo juu iwe inayo kubali line ya tigo tu na bei 1 laki iwe powa yani kioo hakina michubuko NIPO DAR ES SALAAM MWENYE NAYO ANI PM iwe na headphone chaja na boxi lake
Hivi simu used unaweza pata hadi na box lake? Kweli haukoserious, nenda tu dukani ukanunue