Nimecheck kisukari
Waku habari,za mida hi,kuna hu ugonjwa umenitokea kwenye kanyagio la mguu na miaka zaidi ya kumi,nimeenda hospt ila siku pata dawa ya kunifaa,sijui ni ugonjwa gani?niliwai ku geogle wakaniambia unaitwa deadskin...unanipa.maumivu sana nikikanyaga tyriz au sehemu ya baridi...
Mguu wangu ni huo...na kitu chenyewe ndo hicho,kina kuwa kama kisugu...hata nikate na wembe eneo hilo sisikii maumivu,nichome na sigara sisikii chochote....kila nikikikata natoa ngozi ngumu kama.sugu,baada ya mda inarudi tena