W wicalumtata JF-Expert Member Joined Oct 29, 2013 Posts 329 Reaction score 113 Jan 8, 2014 #1 jaman naombeni msaada wenu plz, kuna htc iliwekwa chaji kuanzia saa 6 ya usiku, lakn nlipoamka asbh naiwaisha inagoma kuwaka. Msaada wa ushaur plz
jaman naombeni msaada wenu plz, kuna htc iliwekwa chaji kuanzia saa 6 ya usiku, lakn nlipoamka asbh naiwaisha inagoma kuwaka. Msaada wa ushaur plz
zanishaha Senior Member Joined May 28, 2013 Posts 142 Reaction score 40 Jan 8, 2014 #2 wicalumtata said: jaman naombeni msaada wenu plz, kuna htc iliwekwa chaji kuanzia saa 6 ya usiku, lakn nlipoamka asbh naiwaisha inagoma kuwaka. Msaada wa ushaur plz Click to expand... Jaribu betr jengine,kama bado rudi tena
wicalumtata said: jaman naombeni msaada wenu plz, kuna htc iliwekwa chaji kuanzia saa 6 ya usiku, lakn nlipoamka asbh naiwaisha inagoma kuwaka. Msaada wa ushaur plz Click to expand... Jaribu betr jengine,kama bado rudi tena