Tafuta Samsung S2 kwa bei hiyo na hautojuta kabisaaa. Mie nimemchukua mnyama kwa 250 Sapna pale posta na warranty ya mwaka 1. Internal memory ni 16gb (12gb usable), RAM 1gb, camera super ya 8 megapixels ambayo kwa mtu wa low budget phone wewe unakuwa mkali.
Display ni Super AMOLED.
Wapo watakaosema ni simu ya zamani (actully some 4 years ago) ila bado ni super phone. Fast, smooth durable.
Nenda Sapna kachukue ya kwako ndg...
Ni mara ya tatu namiliki huyu mnyama