Habari wakubwa
Nawaombeni msaada niko na simu aina ya HTC desere S hii simu inanisumbua sana inajizima na kujiwasha wenyewe na inapojiwasha inanipa ujumbe huu:-
"Your phone has just recovered from an abnomal reset" do you want to send a report to HTC.
Ninapokubali au kukataa kutuma report hakuna mabadiliko yoyote.
Anaweza anisaidie kunijuvya ni tatizo gani?
Na ufumbuzi wa tatizo hili
Ahsanteni