Mboya Allie Member Joined Mar 13, 2012 Posts 95 Reaction score 69 Jan 5, 2016 #1 Habarini ndugu zangu, simu yangu tajwa hapo juu imekuwa na tabia ya kuji restart yenyewe na Mara nyingne inazimika..na ikijizima huwa haiwaki moja kwa moja, sasa sijajua itakuwa na tatizo gani, naomba msaada mwenye kufahamu Kuhusu hizi simu.
Habarini ndugu zangu, simu yangu tajwa hapo juu imekuwa na tabia ya kuji restart yenyewe na Mara nyingne inazimika..na ikijizima huwa haiwaki moja kwa moja, sasa sijajua itakuwa na tatizo gani, naomba msaada mwenye kufahamu Kuhusu hizi simu.