HTC Incredible S inanisumbua

HTC Incredible S inanisumbua

mkonomtupu

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
441
Reaction score
119
Wakuu simu tajwa hapo juu ndio ninayotumia toka mwaka jana, mwanzo ilikuwa ina operate vizuri ina reboot automatically na kujiwasha. Baadae ikawa ina reboot lakini haijiwashi. Sasa wiki ya pili inanipa alert kuwa system update is availabe lakini nikibonyeza hiyo button ili ni update system, inaniambia "Your SD card is not available to store the software update bcoz it is mounted in read only mode, you may reboot your phone".
Ila sijafanya setting yoyote ya kuifanya memory card iwe mounted, nisaidieni wajuzi wa haya mambo.
 
Sd card inakubwa gani na free space ilio baki ina ukubwa gani Tuanzie apo
 
naam nimewahi ku root wakati nilipoinunua mwanzoni ilikuwa inakubali. Baadae ikaacha sd card yangu ni 2gb ina free space ya 80 mb wakati inayotakiwa ili update system ni 30.7mb tu
 
naam nimewahi ku root wakati nilipoinunua mwanzoni ilikuwa inakubali. Baadae ikaacha sd card yangu ni 2gb ina free space ya 80 mb wakati inayotakiwa ili update system ni 30.7mb tu

chakufanya rejesha mipangilio ya kiwandani
 
Labda nifanye hivyo maana mwanzoni niliwahi kufanya hivyo lakini kwa ku solve tatizo jingine. Nashukuru kwa ushauri pia
 
Ndugu@mkonomtupu kama una PC ifanyie diskchecking hiyo memory card. Maana ina errors. Iconnect kwenye Pc kisha ingia my computer na ufanye disk checking hakikisha umetick options zote kisha usubiri mpaka imalize.
 
mkuu nashukuru sana hili nitalifanya kesho kazini maana hapa nataka kulala .
Nashukuru sana kwa ushauri. Lakini niliwahi kuchukua memory card ya mshikaji na majibu yakaja yaleyale??
 
Wakuu natoa feedback,
Nilichofanya leo baada ya kufika ofisini, nilichomeka simu kwa Usb kwenye laptop moja copy sd card kwa laptop, thennika iformat, ilipokuwa formated nika update ikakubali. Then ika install lakini ilipokuwa in reboot ilipozima wakati inajiwasha ilifika kati haikuendelea tena. Niliizima nikaiwasha nika copy file zangu poa kabisa. Ila tatizo la ku reboot bado. Nashukuru sana
 
Kama umeichoka nipe mimi nikupe iphone 3g 16gb. Hiyo najua nitakachoifanyia ni njia ya panya sana na risky cwez kukushauri ufanye wewe cz ikigoma na simu imekufa bt kama itakuwa ni mali yangu nitakuwa huru kuifanyia utundu wowote
 
Kama umeichoka nipe mimi nikupe iphone 3g 16gb. Hiyo najua nitakachoifanyia ni njia ya panya sana na risky cwez kukushauri ufanye wewe cz ikigoma na simu imekufa bt kama itakuwa ni mali yangu nitakuwa huru kuifanyia utundu wowote[/
¿
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom