![]()
![]()
![]()
32Gb storage,4G lite
200,000/=
0717-062242
Mkuu ila zina heat sana. Hasa zenye case ya batiHtc ni simu bora sana kwangu
Ni kweli mkuu but ninazipenda sana, natumia ni mwaka wa 4 sasa nimbebadili kuanzia wildfire enzi zileMkuu ila zina heat sana. Hasa zenye case ya bati
Kama pasi hivi
Mkuu nilipita pande zako nilikusahauPia hazikai na charge
Umekua busy sana mkuu. Hope utakua poa karibuniMkuu nilipita pande zako nilikusahau
Busy as bees mkuu..acha kabisaUmekua busy sana mkuu. Hope utakua poa karibuni
Pole sana mkuu. Sasa hiv maisha yapo mbio sana yani.Busy as bees mkuu..acha kabisa
Tangu zamani mimi napenda mchakamchaka mkuuPole sana mkuu. Sasa hiv maisha yapo mbio sana yani.
Mkuu mm hali mbaya mda si mrefu ntarudi ileje nikalime viaziTangu zamani mimi napenda mchakamchaka mkuu
Tubanane humu humu mkuu, ukishindwa kabisa tupande MWEWE/ pipa tukathybutu kulee kwetuMkuu mm hali mbaya mda si mrefu ntarudi ileje nikalime viazi
Ahahahaha. Nawaza kwenda kwazulu natal nikawe beki 3 hukoTubanane humu humu mkuu, ukishindwa kabisa tupande MWEWE/ pipa tukathybutu kulee kwetu
Hakufai hukoAhahahaha. Nawaza kwenda kwazulu natal nikawe beki 3 huko
huu ushauri wako upeleke tra pia ili iwasaidie kuongeza mapato.Pesa pesa
unasubiri nn kijana,, Pesa haitafutwi kizembe tembelea hii link Viewing payed advertising sites webmoney.host - Welcome! ujiunge then nikupe mchakato mzima unakuaje na ushahidi wa malipo kwa waliotusua tayar...So huo muda unatumia whatsaap na instagram tumia sasa kutusua mapene