combra Senior Member Joined May 28, 2012 Posts 130 Reaction score 31 Jul 21, 2015 #1 kama heading inavyojieleza inahitajika HTC desire 816 haraka iwe katika hali nzuri na zaidi iwe inadumu na chaji hata siku moja bila kuchaji. hata kwa mwenye HTC desire 500 tunaweza ongea biashara. mwenye nayo ani PM.
kama heading inavyojieleza inahitajika HTC desire 816 haraka iwe katika hali nzuri na zaidi iwe inadumu na chaji hata siku moja bila kuchaji. hata kwa mwenye HTC desire 500 tunaweza ongea biashara. mwenye nayo ani PM.