Kilangi masanja JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 4,629 Reaction score 5,262 Aug 23, 2013 #1 Msaada wenu kuhusu cm tajwa hapo juu kuhusu ubora wake bei yake na uwezo wake wa internet PIA JNC YA KUZTAMBUA HTC ORIJINO
Msaada wenu kuhusu cm tajwa hapo juu kuhusu ubora wake bei yake na uwezo wake wa internet PIA JNC YA KUZTAMBUA HTC ORIJINO
Kisali.TechnitianJr. JF-Expert Member Joined Nov 2, 2012 Posts 592 Reaction score 183 Aug 23, 2013 #2 Bei yake ni laki 3, nina htc wildfire ni laki 2 nauza
msafwa93 JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 4,840 Reaction score 6,148 Aug 24, 2013 #3 Kilangi masanja said: Msaada wenu kuhusu cm tajwa hapo juu kuhusu ubora wake bei yake na uwezo wake wa internet PIA JNC YA KUZTAMBUA HTC ORIJINO Click to expand... chachacha n viatu vya plastiki wavaavyo wamasai.. htc hawana simu inayoitwa chachacha..
Kilangi masanja said: Msaada wenu kuhusu cm tajwa hapo juu kuhusu ubora wake bei yake na uwezo wake wa internet PIA JNC YA KUZTAMBUA HTC ORIJINO Click to expand... chachacha n viatu vya plastiki wavaavyo wamasai.. htc hawana simu inayoitwa chachacha..
SuperImpressor JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 1,505 Reaction score 649 Aug 25, 2013 #4 Somji Juma said: chachacha n viatu vya plastiki wavaavyo wamasai.. htc hawana simu inayoitwa chachacha.. Click to expand... Huyo kachapia, kitu inaitwa Htc Chacha sijui hiyo kitu ni ya Wakurya
Somji Juma said: chachacha n viatu vya plastiki wavaavyo wamasai.. htc hawana simu inayoitwa chachacha.. Click to expand... Huyo kachapia, kitu inaitwa Htc Chacha sijui hiyo kitu ni ya Wakurya