Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,862
- 8,523
Mzee baba hao Brasil wanacheza hivyo hivyo mashindano haya lakini wana clean sheet kama zote.Brazil wa kawaida sana Atmosphere ya mashabiki na Home advantage inawabeba sana Labda CHILE atolewe na PERU vinginevyo kwa mpira huu Brazil hamfungi Chile.
Hivi wewe ni mwanamke au dume? Yani mechi saa tisa usiku wewe upo macho?Naona Alisson kishazijulia faulo za Messi. Ila Argentina wanashambulia. Wanaweza sawazisha aisee.
Wa kawaida mbona wamewatunyua na Andunje wenuBrazil wa kawaida sana Home advantage inawasaidia tu
Chuki hizi utakufa kwa kihoro. Hiyo home advantage haikuwepo 2014 vs Germany?Brazil wa kawaida sana Atmosphere ya mashabiki na Home advantage inawabeba sana Labda CHILE atolewe na PERU vinginevyo kwa mpira huu Brazil hamfungi Chile.
Acha majungu kibanda umiza cha wapi usiku wote uwo? Sema ulikuwa ndani live supersport pembeni na mzinga wa konyagi.Mechi bora kabisa kuwahi kupigwa mwaka huu.
Hakika Leo kiingilio changu katika kibanda umiza kimekidhi haja.
Wako juu mawinguni.
Mimi dume la nguvu.Hivi wewe ni mwanamke au dume? Yani mechi saa tisa usiku wewe upo macho?
Hata Uruguay watapata sana taabu kosa la Suarez kudaka Mpira unaoingia wavuni ni laana ileWaingereza sijui kama sio Wachawi!! Laana ya Goli la Mkono la Diego Maradona mpaka leo inawatafuna Wa-agentina.
Jesus yuko kwenye kiwango sana kwa mashindano haya naona ina mzarau sanaYani hii ni shida!
Argentina yenye Messi, Aguero na Dybala inafungwa na Brazil yenye forward Jesus na Firmino???? Stupid.
Nahisi chama cha soccer cha Argentina ni sawa na TFF ya Tanzania.
Manake kwa kikosi chao kilichoshiriki World Cup 2018 hakikuwa na sababu ya kukosa Kombe.
Akikujibu ni tag mkuu...Chuki hizi utakufa kwa kihoro. Hiyo home advantage haikuwepo 2014 vs Germany?
Nilichofurahi ni kupunguza over dependence kwa NeymarBrazil kwa sasa ina kikosi kizuri, ukiangalia kikosi kinachoanza na wale walio sub tofauti ya viwango ni ndogo.
Mfano;
Alison vs Ederson
Casemiro vs Fernandinho
Everton vs Willian
Marquinhos vs Miranda
G. Jesus vs Richarlison
Hapo bado kina David Neres, Filipe Luis, Allan n.k
Pia kwa sasa wamefanikiwa kuwa na chemistry nzuri, wanacheza kama timu.
Mi neymar naonaga ana utoto mwingi mno.Nilichofurahi ni kupunguza over dependence kwa Neymar
Anagharimu timuMi neymar naonaga ana utoto mwingi mno.