Siyo program ya udokta hiyo mzee, Bali ni program inayohusika na mifumo ya taarifa za kwenye huduma za afya . Ukiongelea udokta ni kati ya hizi kozi ; Doctor of Medicine (MD), Bachelor of Medicine & Bachelor of Surgery (MBBS/MBChB/MBBCh) ,Doctor of Dental Surgery (DDS). Na zinachukua muda wa miaka 5 kuhitimu.Jaman HSM hii ni program nimeiona mzumbe university morogoro kwa wasiyo ijua kwa kirefu ni bachelor degree in health system management na ni miaka 3 tu nashindwa kuelewa kma program ya udokta mbona inamda mfup compare na izo zingine kma MD na zinginezo kwa yoyote mwenye kuelewa hii program tafadhal funguka hapo chin kwa maelezo marefu zaid ili nipate kuelewa kma ni udokta au nikitu gan
Taarifa kivip unamaana kma wale afisa afya amaSiyo program ya udokta hiyo mzee, Bali ni program inayohusika na mifumo ya taarifa za kwenye huduma za afya . Ukiongelea udokta ni kati ya hizi kozi ; Doctor of Medicine (MD), Bachelor of Medicine & Bachelor of Surgery (MBBS/MBChB/MBBCh) ,Doctor of Dental Surgery (DDS). Na zinachukua muda wa miaka 5 kuhitimu.
Siyo Afisa Afya ,kuna wanaoshugulika na Health Information Management System(HIMS) ama inajulikana kama MTUHATaarifa kivip unamaana kma wale afisa afya ama
Mzumbe wana masters yake.Kozi nzuri sana hii.Vipi maslahi yake?Kuna postgraduate programme yake?
Sawa mkuu,ni kozi nzuri kuisoma hiiMzumbe wana masters yake.