WAKUU na imani mu wazima,,ninayo hii modem yangu inazingua kusoma katika PC yngu lkn kwa PC ZA WENGINE INASOMA MWENYE UFUMBUZI ANISAIDIE MODEM NI 3.5G,,AU BASI ATAKAYE MIND ANIPIM ANAWEZA KUNIFANYIA EXCHANGE AU KUINUNUA BEI NI MAELEWANO
yap nadhan weka kwa window 7 itakubali!! ila ungeweka model na jina ya iyo modem ungeweza pata msaada zaidi wa individual software kwa mfano mi nna sierra wireless modem nna software yake separate!!!
Habar Zenyu, nina acer notebook, ilianza kama utani first day iligoma kuingiza charge, the second day ikazima after two days ikawaka nkaitumia 4 2 days ikazima! ndiyo jumla mpaka leo, nimebadilisha chaji lkn bado kimya! help me pliz jamani
WAKUU na imani mu wazima,,ninayo hii modem yangu inazingua kusoma katika PC yngu lkn kwa PC ZA WENGINE INASOMA MWENYE UFUMBUZI ANISAIDIE MODEM NI 3.5G,,AU BASI ATAKAYE MIND ANIPIM ANAWEZA KUNIFANYIA EXCHANGE AU KUINUNUA BEI NI MAELEWANO
hizo moderm zenyewe ni changa la macho kama unaweza kuiuza ni bora ukaiuza fasta
embu jiulze moderm gan haina brand name kama ni huawei/zte etc
je ikiwa na tatizo utapata wapi support
na mm nilinunua ikawa inadisconect kila baada ya dkk 20 nikwawarudishia