HR aliyepo Dodoma anahitajika

Keagan Paul

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2018
Posts
518
Reaction score
3,193
Habari zenu Wakuu.

Anahitajika HR aliyepo dodoma, mwenye uzoefu wa kufanya kazi Kiwandani.

Tuma CV yako kwenye Email hrfbde@gmail.com
 
Watu mnaoleta matangazo ya kazi jitahidi mueleweke taja vigezo taja na mshahara
 
Leteni mrejesho basi Wakuu mbona kmy tena?
 
Leteni mrejesho basi Wakuu mbona kmy tena?
Bado tupo kwenye uchambuzi wa cv zilizotufikia mana n nyingi sana pamoja na ya huyo jamaa hapo juu anayetaka mshahara wa 3M japokuwa mshahara halisi ni laki mbili unusu ila amesema yupo tayari kufanya kazi kwa moyo mkunjufu kabisa 😎

Siku sio nyingi tutawaita kwenye usaili 🔥
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…