Je, unataka kwa jili ya matumizi yapi mkuu?Wakuu nimenunua hiyo mashine tajwa hapo juu kwakwel iko vizuri sana ila je inadumu hii ? Kwa waliowahi kununua na kutumia.
View attachment 2354235
Apa sijaelewa vizuriDesktop mchawi power supply tu na umeme, ama motherboard na vumbi kama huitunzi, otherwise zinakaa hata miaka 30. Hio hapo ilipo ishakaa miaka 9 tayari.
Kifupi Tanesco wanaunguza vifaa vya umeme.Apa sijaelewa vizuri