Hp pavilion dv6 problem

web engineer

Member
Joined
Mar 19, 2012
Posts
55
Reaction score
0
salaam,nimepata shida na laptop yangu ya Hp pavilion dv6,nikiwasha kuna taa mbili ya Num lock na Caps lock ndio zinawaka lakini screen haiwaki inakuwa nyeusi tu.hizi caps lock na Num lock zina blink continously bila laptop kuwaka au ku display.
msahada tafadhali
 
Web engineer,Ingekua poa kama ungegoogle ungepata majibu poa zaidi ya nitakaya jaribu kukuelekeza.

Best of luck kwenye kusolve tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…