HP PAVILION dv2000 SATA DRIVER

ndekia1

Member
May 5, 2008
31
5
Habari wa JF
NaombenI Msaada wenu maana nimejaribu kutafuta SATA driver for HP Pavilion Dv2000 laptop.Maana naitaji kufanya Istallation ya XP.

Naomben msaada wenu


Rgds
Ndekia
 
Thanx Jamani Nimepata kupitia hp.com ila ni mpaka uiunganishe na kwa kutumia nlite.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom