karibukwetusingida
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 290
- 137
Naombeni msaada wakuu nina printer tajwa kila nikiprint haiprint inaleta error hii"supply memory"lakini pia kuna wakati inatafuta karatasi,shida inaweza kuwa nin wakuu na solutions yake nini.
chief-mkwawa
ymollel
chief-mkwawa
ymollel