HP Laptop!

Billcash

Member
Nov 4, 2016
86
44
Nahitaji laptop aina ya hp. Iwe na Ram 1GB na kuendelea Storage GB 80 na kuendelea, processor 2 hgz na kuendelea. Offer 200000 hadi 250000/ kama unayo nipm.
 
Mkuu nina Toshiba
500storage
Ram 4
Pro 4.32 ghz ongeza kidogo mzigo upo poa hata ufike 350
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom