HP Laptop inaleta blue screen

profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Apr 21, 2015
1,485
3,133
laptop yangu ya hp 620, nikiwasha inaleta maandishi meupe na rangi ya bluescreen, nikizima na kuwasha kama mara 4 hivi,screen haiwaki ila motherboard inawaka.

Msaada wataalam.
 
laptop yangu ya hp 620, nikiwasha inaleta maandishi meupe na rangi ya bluescreen, nikizima na kuwasha kama mara 4 hivi,screen haiwaki ila motherboard inawaka.

Msaada wataalam.
Blue screen hiyo ni error, kuna kifaa ndan hakiko sawa hivo jaribu kuchange RAM ukiona bado yamkini ikawa processors
 
Back
Top Bottom