HP ipo sokoni bei rahisi sana

HP ipo sokoni bei rahisi sana

vizurii,
mm ninatabia moja...
Kuliko kuuza bidhaa yangu ninayoiamini kwa bei ya dharau bora iliwe na mchwaa hakii, na pia naamini katika lugha nzuri kwa mteja ila sio kumbembeleza mteja.
nikweli mkuu nimashine nzur sana lakin nlipata shida yadharula sana, ngefanyaje kila kona kumebana inabidi tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom