William Mwita
Member
- Oct 29, 2023
- 45
- 19
ila hii Howo ipo vizuri inafanya kazi vema tuNimetumia sana chines vehicles, zina tabu kweli, back to scania and Co's!
Hiyo haipo ofisini kwetu ila bei ni USD 34348Ingine used from China ya Faw J5 kiasi gani William mwita!
imepatikana hapa Faw j5 kama utakuwa muhitaji karibuIngine used from China ya Faw J5 kiasi gani William mwita!
OK, Monday!.imepatikana hapa Faw j5 kama utakuwa muhitaji karibu
0748270719
Howo 371Howo model ipi. 335,336 , 375 au 371?
Weka picha za Kutosha . Maana picha umeweka za Kiwizi wizi. Yaani kama vile unaibia.Howo 371
Hiyo ni sample tu kwaajili ya tangazo, ukiwa na utayari wa Kununua nakukaribisha ofisini kwetu kurasini karibia na chuo Cha diplomasiaWeka picha za Kutosha . Maana picha umeweka za Kiwizi wizi. Yaani kama vile unaibia.
Weka picha za Kutosha . Maana picha umeweka za Kiwizi wizi. Yaani kama vile unaibia.
Jukwaa hili linahusisha wateja toka: Ifwenkenya, mbawe, Sakukwa, kamsamba, Biti manyanga, mji mdogo Laela, Ipwizi, Wanzani, Makongorosi, Chunya, Patamela, Saza, mkwajuni, Mbangala, Sangambi, Lupa, mswiswi, madabaga, chimala, Buyubi, Igogo, ibologelo, Malendi, Bulyang’ombe, Lulembela, Lwamgasa, Nyarugusu , Mgusu, Ikina, Bukoli, mwendakulima, Mbulu, Nyambula, segese, Lunguya, Kakola, Lwabakanga, Nyangwale bila kusahau Igusule.Hiyo ni sample tu kwaajili ya tangazo, ukiwa na utayari wa Kununua nakukaribisha ofisini kwetu kurasini karibia na chuo Cha diplomasia
Mawasiliano 0748270719
Karibu
Sawa nimekuelewaJukwaa hili linahusisha wateja toka: Ifwenkenya, mbawe, Sakukwa, kamsamba, Biti manyanga, mji mdogo Laela, Ipwizi, Wanzani, Makongorosi, Chunya, Patamela, Saza, mkwajuni, Mbangala, Sangambi, Lupa, mswiswi, madabaga, chimala, Buyubi, Igogo, ibologelo, Malendi, Bulyang’ombe, Lulembela, Lwamgasa, Nyarugusu , Mgusu, Ikina, Bukoli, mwendakulima, Mbulu, Nyambula, segese, Lunguya, Kakola, Lwabakanga, Nyangwale bila kusahau Igusule.
Sasa unataka wote tuje ofisini kweli.
Wewe tuwekee picha za kutosha tujipime na Biashara